Nawachukia wanaume


Usichukie wanaume,mchukie x-boyfriend wako.

Anyway,pole kwa yaliyokukuta
 
Dada umeongea kwa hisia! Ila siyo wote tupo hivyo. Tatizo na wale wanaochepuka wanachepuka na wake za watu. Vipi hapo napo unasemaje unawachukia wanawake?
 
Dada umeongea kwa hisia! Ila siyo wote tupo hivyo. Tatizo na wale wanaochepuka wanachepuka na wake za watu. Vipi hapo napo unasemaje unawachukia wanawake?
kwani anaye chepuka na wake za watu yeye ni mwanaume au mwanamke?mmi nmesema wotee anajijua anatabia ya kutojielewa badala akae chin ajifikilie family yake ataisaidia vipi kwa umri alio nao lakin yeye anawaza kutongoza wanawake na kuwa danganya?!!!!!mxuiiii
 

Kiiibooo si utembee mbelee. Mwanaume pekee ni YESU ndio asiyebadilikaa. Hata baba yako mama kamvumilia na wewe vumilia kama wamtaka huyo... alafu Shida yakoo unangangania mwanaume na kumuabudu... aiseee mwanaume ni pesaa yakoo huyo wa mwenzako ndio hivyo. Jitambue na somo la uraia likuingie 25 oct tukutane kituoni na uje na pen yako ya kuweka alama ya V kwa Lowasa na Ukawa wootee.
 
Dadangu hata wenye magari hupanda daladala. Pole kwa msiba
 

Mmh weeeeee!!!
 

You nailed it all
 

Hili kweli ni Gazeti.. lakini kiasi flani umejitahidi kutetea Unachokiamini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Bila kufuata misingi bora ya mahusiano na kanuni halisi za Mapenzi basi usitegemee kuwepo kwa Amani na uaminifu katika Mahusiano. Tukubali tukatae Hata nyie mmekuwa Sababu ya Waume zenu kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…