Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

nataka kuingia kwenye uwo ujasiliamali vipi naweza pata eneo la kufugia maeneo ya hapo kibaha mkuu?
 
Upo kibaha ipi? maili moja,mlandizi,lupunga ama?
Je kama nitahitaji kukutembelea kwa kujionea na kujifunza nakupataje weka mawasiliano yako mkuu siyo mpaka tukufaate pm.
 
Hizo namba wekeni hadhari that's business sio siasa MTU kuku pm iwe no personal matter bwana nyinyi vipi kuna watu wengi wanataka but wanataka mambo yawe open ili no jukwaa bwana msisahau hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nia njema kabisa weka hapa tujifunze. Jukwaa Huru hili la kujifunza. Naamini nawe pia utafaidika
 
Back
Top Bottom