Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,803
- 2,720
OFA YA VITABU KWA KILA COMPUTER
Vitabu vitano vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:
1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai ,
2. Kiwanda cha nyumbani( Bidhaa 15 za kutengeneza ukiwa nyumbani kama sabuni zote,mshumaa,chaki n.k)
3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku wawili na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)
4. Formula za kuandaa dawa kwa zaidi ya magonjwa 20 kwa kutumia mimea inayotuzunguka
5. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti
Piga simu:0713-039875