Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

Karibu sana.utapata sato.jinsia wanabadilishwa ili wakue haraka na wasizaliane kwenye bwawa.wote wanakua madume.maana sato wanazaliana sana.Kambale kuzaliana hadi mtoni kwa hiyo ukiitaji kumzalisha kitaalamu ndo unaingia mahabara.uko ndo gharama nyingi nyingi
Mfuga Kuku, Mbuzi, Ng'ombe etc atataka Kuku wake Wazaliane sana ili apate Kuku wengi zaidi apate faida, why Samaki inakua ni vibaya wakzialiana kwa wingi??
 
Hivi sato wanahimili sehemu za baridi kama Mbeya, Kilimanjaro na Arusha?
 
Mfuga Kuku, Mbuzi, Ng'ombe etc atataka Kuku wake Wazaliane sana ili apate Kuku wengi zaidi apate faida, why Samaki inakua ni vibaya wakzialiana kwa wingi??
Wakizaliana sana ina maana kama unafuga kibiashara mienzi sita uvune utapatwa na changamoto kwenye ukuaji watakua lakini sio kwa kiwango cha kibiashara unachotarajia kutokana na kokosa nafasi ,Samaki wanaitaji nafasi bwawani pia ndo maana unaweka idadi kulingana na ukubwa wa bwawa
 
Na
Mfuga Kuku, Mbuzi, Ng'ombe etc atataka Kuku wake Wazaliane sana ili apate Kuku wengi zaidi apate faida, why Samaki inakua ni vibaya wakzialiana kwa wingi??
Na pia Kambale haziliani bwawani ,sato tu
 
Sasa hao Sato ina maana nikiweka vifaranga 100 nitakuja kuwauza hao hao 100 tu?? tena wakifa wengine means watakua less
unamaanisha kama umeweka sato mono sex?kama mono sex ukiweka idadi hiyo tegemea kuvuna hiyo hiyo kama mixed sex apo tegemea idadi kubwa sana
 
Nm
Sasa hao Sato ina maana nikiweka vifaranga 100 nitakuja kuwauza hao hao 100 tu?? tena wakifa wengine means watakua less
Mono sex utauza hao hao tu unaweza pata idadi kama ulivyo weka au kupungua wawili watatu maana pia mono unavyoweka hakikisha wamelingana na changamoto nyingine zisiwepo
 
Back
Top Bottom