uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
- Thread starter
- #61
Namba ya simu sio ya kuanika public maana sina ya ofisi ndo maana nikasema mwenye nia akinipm ntampatia mkuuNdugu unalenga kufanya biashara kweli? Weka taarifa zote zinazotakiwa kwenye tangazo ikiwemo namba ya simu au wewe unafikiri ukishaweka bei umemaliza?