Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

kambale anafugwa hata chooni simpendi kama nini?
[emoji23] [emoji23] kuna mfugaji mmoja aliniambia huwa anawalisha mavi ya kuku wake wa kisasa anaowafuga pia.

Eti wananenepa kishenzi,[emoji16] [emoji16] [emoji16] aliniuzi sana.
Ila Nina imani mleta mada hafanyi huu ufala.
 
mkuu me najua samaki wengi wanakula ile minyoo kwa hiyo ni moja ya chakula cha samaki
 
Upige picha ya samaki na bwawa unalofugia. Isije ikawa unatuuzia kambale wa mabwawa ya maji machafu ya mabibo na buguruni.
 
Sawa ntafanya hivyo Mkuu.ukiitaji video pia uone bwawa na ninavyolisha unipm nikutumie whatsup
 
Asante kwa ushauri .ntafanyia kazi.itabidi uje kunisaidia kuwatumbua ujikumbushie vizuri haha
haahaaahaa.weee..nlikkuwa nawavua wakiwa hai then nawaeka kwenye beseni.naanza kama ntaweza kukamata mkononi lakini wapi..wanavoniteleza na kuruka ndo furaha yangu..ikawa hobby.

nakushauri wavue uwakaushe ndo utauza kwa mda mrefu na bei kubwa hadi sokoni..
 
Pata mbegu nzuri ya sato na Kambale .sato bei 250.Kambale 450..pia Samaki wakubwa Kambale nauza.napatikana kibaha.Kwa namba za simu pm tuwasiliane
mkuu mi Nina mradi nasimamia hapa mbeya wa ufugaji samaki ,,,nipm namba zako tuwacliane mkuu Nina safari ya dar nikutembelee tubadilishane uzoefu
 
Back
Top Bottom