Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

naomba kuuliza kama nataka kufuta lets say vifaranga 5000 ndio nanunua kwa 500@??
 
naomba kuuliza kama nataka kufuta lets say vifaranga 5000 ndio nanunua kwa 500@??
Barabara Mkuu.ila ukichukua wengi kuanzia 5000 bei inashuka kidogo.na hiyo ni kwa Kambale.sato bei yake iko chini kama nilivyo ainisha
 
Kuna member wa umu nimeshawauzia.bado vipo vya kutosha.karibuni sana.
 
Ukichukua vingi zaid sato ,bei inapungua.mbegu nzuri toka mwanza
 
Ukichukua vingi zaid sato ,bei inapungua.mbegu nzuri toka mwanza
 
Bado naendelea kuuza Vifaranga vya kutosha ,na wateja napata umu umu pia.karibuni sana
 
Kwa wanao anza kufuga pia ,tujulishane tupeane elimu juu ya maswala mbali mbali
 
Nauza Vifaranga vya Samaki ,sato mono sex na mixed,mono 350 kimoja,mix 150.pia Kambale vipo, vya Kambale 400 kwa kimoja
Vifaranga wana muda wa mwenzi mmoja.
Vinapatikana pwani-kibaha,mikoa mingine vinasafirishwa pia
Kwa mawasiliano zaidi pm
 
Daahh huu uzi umenifurahisha.

Yaani Muuzaji hana cha mteja ni mfalme wala nini,, kama huwezi bei, jikatae tu
 
Back
Top Bottom