uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
- Thread starter
- #181
Bado viko vya kutosha
Ndio Mkuu ninayo,nakutumia namba pmMkuu nahitaji kuanza kufuga kambale, mbegu unayo? Naomba tuwasiliane tafadhali
Nauza Vifaranga vya Samaki ,sato mono sex na mixed,mono 350 kimoja,mix 150.pia Kambale vipo, vya Kambale 400 kwa kimoja
Vifaranga wana muda wa mwenzi mmoja.
Vinapatikana pwani-kibaha,mikoa mingine vinasafirishwa pia
Kwa mawasiliano zaidi pm
naitaji naomba mawasiliano yako namba za cm mm yangu 0784258594
Khabari wakuu,kwa wateja wangu na wateja wapya nimeanza kuvuna tena sato wakubwa bei.7000 kwa kilo,vifaranga sato kimoja 200,kambale kimoja 400
mahali:dar
mawasiliano zaidi karibuni pm
karibu
Vifaranga vinapatikana
Apo utaitaji kuweka mixed sex,ili wakiwa wanazaliana na wengine unaendelea kula,kwa hiyo muda wote haukosi mboga,ukubwa inategemea ,ata la mita tano kwa 10 sio mbaya,inategemea pia na aina ya bwawa unaloitaji.Nikitaka kufuga kwa ajili ya chakula cha nyumbani tu unanishauri niwe na bwawa la ukubwa gani na sex gan? Emu npe mchanganuo yaani nataka samaki nisinunue kabsa niwe nikihitaji navua nakula