Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,408
- 3,196
Mambo ni 🔥Naona Uzi umekuwa mrefu mada sio simu Tena...ni kudanga na siasa na mipasho
Haki sisi waTanganyika🙆
Mambo ni 🔥Naona Uzi umekuwa mrefu mada sio simu Tena...ni kudanga na siasa na mipasho
Haki sisi waTanganyika🙆
Naita mod waufute.Mambo ni 🔥
Kuna watu wana kosoa afu hapo hapo wana tangaza bishara na kuweka namba zao na location nchi isha kua ya kijinga hiiKwani inahusiana vipi?!
hapana kaka usifanye hivi,kama ilivyo vidole watu pia tunatofautianaMwanamke mzima laki 1 inakushinda 😂😂😂😂😂😂😂
Chai.Usijitoe akili, hujui binti anapitia nini hadi kuja huku.
Mtu anauza kitu chake ushaanza kusema malaya/anajiuza, huo ni upumbavu. Man up uache ujinga.
Mkuu biashara ni huria wewe ukiona haiwezekani mwingine inawezekana tumetofautiana kwenye preferenceSimu ni infinix, imetumika takliban miaka mitatu, alafu unaiuza 140k?????? Haupo serious. Wata watakuletea makuzi tu utaishia kununa. Bor uufute huu uzi, nenda kwa nafundi simu mtaani kwako kawaambie wakutafutie wateja.
Pia humu wanaume ni wengi na hatuvututiwi na simu hizo, muchless ikiwa ina umri wa miaka mitatu.
Mpaka naamua kuuza simu Ina maana sinaPole mdada, pole pia kwa comment mbaya, si mgeni hapa hivyo naamini hutajali .
Ni vile pamekuwa mbali kuna mtu angeihitaji.
Hamna njia nyingine ya kupata shuluhisho la hio changamoto bila kuuza hio simu?
Slogan yako ya chai ninya kike tu! Au ndio unatafuta attention kwa njia hiyo?Chai.
Unajisumbua bure tu.
Ili iweje labda?Slogan yako ya chai ninya kike tu! Au ndio unatafuta attention kwa njia hiyo?
Ili kila mtu akujue kama ulivyosema!Ili iweje labda?
Biashara ni huria skatai, lakini huwezi kufungua grocery kwenye jengo la msikiti, Au ukarnda kuweka ofisi ya kuuza majeneza kwenye soko la ndizi.. Ni sawa na hiki kinacho fanyika hapa. Dada atabaki kuwa dissapointed tu. Ndo maana nkampa option ya kuongea na mafundi simu ili asaidiwe mapema.Mkuu biashara ni huria wewe ukiona haiwezekani mwingine inawezekana tumetofautiana kwenye preference
Unajielewa?Ili kila mtu akujue kama ulivyosema!
Ni kwamba serikali haitakiwi kukosolewa! Basi hilo litakuwa ni genge la wahuni na vilaza wasiojiamini! Na siyo serikali ninayo ifahamu mimi.Uwa hukosoi serikali sio mna kosoa serikali afu apo apo mna kuja kutangaza biashara
Itakuwa ulimkataa nini mwamba analeta jelas😄😄Unatumia nguvu kubwa nsifanikiwe.baada ya hili utafaidika na Nini?