Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

Sister Abigail umenikera uliposema siasa haukuhusu,ungekua active citizen na ukaengage vizuri kwenye siasa pengine tungepata mabadiliko na huu ugonjwa ungetibiwa bure bila kuuza hii kitu yako.
Acha jeuri kua siasa haukuhusu,siasa ni maisha yako
Change or perish.

Haya unaumwa nini mkuu hebu tuelezee hapa na uweke namba tutume hizi bukubuku zetu hapa Kkoo
 
Nina shida guys,nimezodiwa mahitaji naumwa hata dawa aina Hela bado mengine
nauza simu yangu Infinix note 12 Kwa 140,000
Haina shida ila Ina crack kwenye kioo,ni kubandika protector na cover mpya basi.
Nipo Dar
Whatsapp +255760193578

Sina simu ya ziada kupigia picha ila ni kama uonavyo na pia specifications zake nimscreenshot kwenye simu yenyewe.
Tuko pamoja
 
Njia mpya ya kudanga hii
Kama huwezi kuji heshimu, basi heshimu wengine kwa nafasi zao

Huyu dada ana fahamika kwa kuwa alisha wahi kuandika uzi wa mahitaji maalumu, hata kama asinge andika sija ona sehemu aki nadi kuuza hicho unacho kisema.

kama kwenu wana danga, haimaanishi nae ni kundi hilo.
 
Sister Abigail umenikera uliposema siasa haukuhusu,ungekua active citizen na ukaengage vizuri kwenye siasa pengine tungepata mabadiliko na huu ugonjwa ungetibiwa bure bila kuuza hii kitu yako.
Acha jeuri kua siasa haukuhusu,siasa ni maisha yako
Change or perish.

Haya unaumwa nini mkuu hebu tuelezee hapa na uweke namba tutume hizi bukubuku zetu hapa Kkoo
Sina wa kuniletea ugali lupango mkuu
Hayo nawaachia nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom