Excel VBA
JF-Expert Member
- Oct 27, 2025
- 313
- 623
sehemu gani hapo shy?
we ndo unauza simu mbona unauliza?
sehemu gani hapo shy?
na me niko shy mkuu.we ndo unauza simu mbona unauliza?
Wacha bwana, kila member humu anakujua? Binafsi sikujui...Nani anayekujua humu JF?
Hakuna member yeyote wa JF asiyenifahamu.
Sasa mimi na wewe nani anampa airtime mwenzake?
Mwanamke mzima laki 1 inakushinda 😂😂😂😂😂😂😂
okay! Lakini vipi hali yako unaendeleaje?Unajikita Mwanaharakati halafu muogaa
Asante mkuu Mimi siko huko
na me niko shy mkuu.
Ongeza mkuu90k ipo
Jitahidi usiwajibu wapuuziNdo mawazo yako yalipoishia.
Kama ningeomba Hela ningekuja direct.mpaka nauza simu it means natafuta Hela halali.
Nsingeweka namba ya simu bado ungesema tapeli
Watu kama wewe hamkosekani kwenye hii Dunia.
Nimewazoea
Unajitoa ufahamu?Wacha bwana, kila member humu anakujua? Binafsi sikujui...
Uache kujipa umuhimu!
MbeziPole , uko dsm sehemu gani ?
Yap sasa humu watu wanataka woteee tuamie jukwaa la siasa kule tukabishanee siasa ina wenyewe bhnaHuwa nachekaga sana. 😂😂
Wanasahau kila mmoja ana haki ya kufuatilia na kufanya kile anachokitaka kikubwa havunji sheria.
Kwani inahusiana vipi?!Uwa hukosoi serikali sio mna kosoa serikali afu apo apo mna kuja kutangaza biashara
Niseme tu MUNGU NI MWEMAokay! Lakini vipi hali yako unaendeleaje?
kwa hiyo unasemaje we msukuma?aliesema kua yupo shy town ni mnunuaji na anayeuza hajasema alipo mkuu!
Mkuu mshana with all due respect,kumwambia mtu siasa ni maisha yake sidhani kama ni upuuzi.Jitahidi usiwajibu wapuuzi
Simu ni infinix, imetumika takliban miaka mitatu, alafu unaiuza 140k?????? Haupo serious. Wata watakuletea makuzi tu utaishia kununa. Bor uufute huu uzi, nenda kwa nafundi simu mtaani kwako kawaambie wakutafutie wateja.Nauza 140
Simu nimenunua 2023,vishapotea
Naona unatumia juhudi kubwa hance
Anataka simu aje namkabidhi mikononi.
Msaidie mtoto mzuri uyoUwa hukosoi serikali sio mna kosoa serikali afu apo apo mna kuja kutangaza biashara
Naona Uzi umekuwa mrefu mada sio simu Tena...ni kudanga na siasa na mipashoJitahidi usiwajibu wapuuzi
Usijitoe akili, hujui binti anapitia nini hadi kuja huku.Unajitoa ufahamu?