Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
Hiki alichokilenga.Huko kote alikuwa anazunguka tu.Haya unaumwa nini mkuu hebu tuelezee hapa na uweke namba tutume hizi bukubuku zetu hapa Kkoo
Hiki alichokilenga.Huko kote alikuwa anazunguka tu.Haya unaumwa nini mkuu hebu tuelezee hapa na uweke namba tutume hizi bukubuku zetu hapa Kkoo
ChaiKama huwezi kuji heshimu, basi heshimu wengine kwa nafasi zao
Huyu dada ana fahamika kwa kuwa alisha wahi kuandika uzi wa mahitaji maalumu, hata kama asinge andika sija ona sehemu aki nadi kuuza hicho unacho kisema.
kama kwenu wana danga, haimaanishi nae ni kundi hilo.
Wewe kweli zwazwa.Sina wa kuniletea ugali lupango mkuu
Hayo nawaachia nyie
Mchicha mwiba sijui huwa mna shida gani, shots fired now roll up your sleeve and move your weird a.ss.Chai
Sijaomba pesa Kwa yeyote.nankama ndo unavyohisi Kwa mawazo yako waambie mods waufute huu Uzi.Hiki alichokilenga.Huko kote alikuwa anazunguka tu.
Dahh 😅😅Mchicha mwiba sijui huwa mna shida gani, shots fired now roll up your sleeve and move your weird a.ss.
Uzuri taarifa zako tunazo.Mchicha mwiba sijui huwa mna shida gani, shots fired now roll up your sleeve and move your weird a.ss.
Naona unatafuta airtime kwangu.sikupi teenaa!Wewe kweli zwazwa.
Nchi ikikombolewa automatically hizi njaa ndogondogo hutokaa uzipate.
Nani anayekujua humu JF?Naona unatafuta airtime kwangu.sikupi teenaa!
WTF very stupid take.Sio
Siko kwenye harakati Wala mambo ya siasa.
Upo wapiMm naitaj,sema nipo mbali
Mkuu Kuna wakati inabidi uheshimu wengine Kama vile ulivyo na addicted na siasa Kuna wengine hawapo hivyo ni sehemu ya demokrasia inakupaswa uheshimu hiloNani anayekujua humu JF?
Hakuna member yeyote wa JF asiyenifahamu.
Sasa mimi na wewe nani anampa airtime mwenzake?
Mwanamke mzima laki 1 inakushinda 😂😂😂😂😂😂😂
Shy townUpo wapi
Mmh. Haya pole.Sina namna kuwapata Wala kujua anaehitaji.ndo mana najaribu mitandaoni
Huwa nachekaga sana. 😂😂Wananikwaza sana watu wanao fwatilia siasa wanajiona wako na akili kuliko kawaida
this is not right Hance, you’re better than this ..!Mwanamke mzima laki 1 inakushinda 😂😂😂😂😂😂😂
sehemu gani hapo shy?Shy town
🤣🤣🤣🤣 Unajikita Mwanaharakati halafu muogaaA bwana ee, usitutege ukapata mawasiliano yetu kisha tupotezwe. Watu wa system mnakujaga na mikwara hii. Hatutegeki ng'oooo. Anyway pole sana.