Nauza miche ya papai mbegu fupi

Nauza miche ya papai mbegu fupi

Nauza pia Miche ya passion zile nyekundu bei 1000
Limao bei 1000
Ndimu bei 1000
Papai 2000
 
Wakulima njoo mchukue miche
 
Tunakulaga
1527835401771.jpg
 
Wakuu Miche IPO kila wakati njoo ujionee kilimo cha Papai kilivyo na faida
 
Hapo mipapai ikiwa Miezi 4 na hiyo kwenye uzio ya mdau nilimtumia Miche morogoro ikiwa miezi 3...
Hata wewe unaweza
IMG-20180916-WA0010.jpeg
IMG_20180916_100334.jpeg
 
Nunua Miche nikusogezee Jirani na ulipo
 
Unaweza kunisaidia mazingira gani papai linastawi? Lindi linaweza kustawi?
 
Huu ndio muda sahihi wa kuotesha mipapai ,usingoje mvua ,mvua inaozesha Miche ikiwa midogo
 
Azizi kumbe Upo online? Angalia mwanzo wa huu Uzi kuna namba zangu ,ruksa kupiga kuuliza maswali na Ushauri kuhusu kilimo cha Papai na mbogamboga
 
Back
Top Bottom