Nauza miche ya papai mbegu fupi

Anytime is right time.hujachelewa njoo uuchukue miche
 
Muda( kipindi) gani mzuri wa kupandikiza hiyo miche? Heka moja inahitaji miche mingapi? Mapapai yake ni matamu?
Kipindi chochote ni kipindi kizuri ,kipindi cha mvua ni kizuri zaidi ila tu chunga maji yasituame kwenye miche na kiangazi utahitaji maji kumwagilizia
Kwa maelezo zaidi piga simu au njoo shamba upate nondo zaidi
 
IMG_20180414_091212.jpg
 
Kipindi chochote ni kipindi kizuri ,kipindi cha mvua ni kizuri zaidi ila tu chunga maji yasituame kwenye miche na kiangazi utahitaji maji kumwagilizia
Kwa maelezo zaidi piga simu au njoo shamba upate nondo zaidi
Asante sana, nitakutafuta ili unipe hii elimu kwa kina zaidi
 
Baada ya mvua za masika kuanza kupungua ni muda muafaka sasa wa kuotesha Miche ya Papai
 
Mche mmoja unadumu kwa muda gani na unazaa wastani wa mapapai mangapi?
Mipapai unaweza kudumu hadi miaka miwili toka umeanza kuvunwa na unaweza ukatoa hadi matunda 80 mpaka 120 kulingana na matunzo
 
Miche IPO kibao na hiki ni kipindi ni kizuri cha kuotesha baada ya mvua kuanza kupungua
 
Muda( kipindi) gani mzuri wa kupandikiza hiyo miche? Heka moja inahitaji miche mingapi? Mapapai yake ni matamu?
Heka 1200 baada ya mvua za masika au miezi 2 kabla .inategemea na aina ya udongo na hali ya hewa pia
 
Kama unataka kuweka oda utalipia advance pesa kidogo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom