Mafuta ya alizeti pure

Mafuta ya alizeti pure

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
541
Reaction score
832
Wakuu kwema? Kama kijana nimeanzisha project ya kuuza mafuta ya alizeti hivyo mwenye uhitaji aniunge mkono yako vizuri sana na hayana harufu.asanteni
 

Attachments

  • IMG-20260715-WA0065.jpg
    IMG-20260715-WA0065.jpg
    118.2 KB · Views: 4
Bei kiasi gani?

Ujazo kiasi gani?

Unapatikana wapi?

Je, mkoani unatuma?

Mawasiliano?
Bei kwa Dsm lita moja 8000Tsh, mkoani 7500Tsh
Ujazo nimeanza kwa lita 1 pia lita 5
Napatikana dar es salaam
Mkoan natuma
Mawasiliano +255612626420
 
Bei kwa Dsm lita moja 9000Tsh, mkoani 7500Tsh
Ujazo nimeanza kwa lita 1 pia lita 5
Napatikana dar es salaam
Mkoan natuma
Mawasiliano +255612626420
Mimi nina kiwanda cha hayo mafuta.... Tunaweza fanya biashara.

Kipo igunga tabora
 
Lita Moja 1 shiringi Elfu tisa9000?
Mbona gharama kubwa sana?......
 
Back
Top Bottom