Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Vyote nimeweka mkuuNi sawa, umesomeka.
Niliweka 5000 kwani ulikuwa hujaweka bei na uliulizwa lakini ukuweka ndiyo maana nikaona nikusaidia kuweka hiyo bei.
Ni vizuri kama unauza kitu uweke taarifa husika mfano picha, bei na upatikanaji wake.
Mwanzoni hukuweka bei.Vyote nimeweka mkuu
Hakuna kuku wa kienyej mkubwa hivoHata wa 10000,7000,5500 wapo wengi tu lakini ujue saivi watu wanastuka hawataki kutumia vitu vyenye makemikali wanataka vitu vyaasili
Kijana unataka kuwa tajiri harakaMayai Trey waga nauza 18000
Kama unafuga na kuku wako Ni wadogo wadogo inabidi umuulize aliyekuuzia mbegu labda alikuuzia mbegu iliyodumaa sababu nmezaliwa singida pia nlikulia huko kwa kiasi fulan sijawahi ona kuku wadogo kulinganisha na mikoa mingine ....pia siuzi kuku chotara hao kuku unawaona Ni kuku wakienyeji nmewatoa kihomboiHakuna kuku wa kienyej mkubwa hivo
Usiseme uongo kijana hao ni chotara
Mimi Nipo singida na ninafuga hao kuku nakuwauza
Mimi huwa nawaeleza ukweli kabsaa sasa ww unaenda kusema uongo hao sio pure kienyej Sema chotara
Nyinyi ndio amjui kuku wakienyeji kutoka mkoa wa singida kuku wake Ni WALAINI Sana maji Mara moja tu na inatokana na kuku kua wanafugwa kienyeji kwa kujiokotea chakula na kula mtama Sana ukiona umeuziwa kuku Ni mdogo ujue Ni kulingana na Bei yakoKweli ni chotara sio kienyeji pure labda hawajui kuku asilia wa singida vizuri afu kuku wa singida pure sio walaini
We unabisha tuu,mi nishawahi kufanya kazi na shirika fulani mradi wa kukomboa kaya maskini ,tulikuwa tunapita wilayani na vijinini huko singida na wakuwapa mbegu za vifaranga chotara wafuge na baadaye yakaanza kwenda makampuni binafsi yalianza kutembeza vifaranga vya chotara na kuuza reja reja kwa wenyeji,sema wao wanafuga free range,free from antibioticKama unafuga na kuku wako Ni wadogo wadogo inabidi umuulize aliyekuuzia mbegu labda alikuuzia mbegu iliyodumaa sababu nmezaliwa singida pia nlikulia huko kwa kiasi fulan sijawahi ona kuku wadogo kulinganisha na mikoa mingine ....pia siuzi kuku chotara hao kuku unawaona Ni kuku wakienyeji nmewatoa kihomboi
Sasa wewe ulikua unapita mm nmezaliwa huko na nmekulia huko mkuu watu wa kule hawatumii hayo machotara na hao kuku Ni wakienyeji. Hata Radha ipo tofauti wapo watu humu nawauzia Mara nyingi tu walioishi mkoa wa singida wakahamia dar kikazi wanajua nachoongea hapa Kama lengo Ni kuharibu biashara nakupa poleWe unabisha tuu,mi nishawahi kufanya kazi na shirika fulani mradi wa kukomboa kaya maskini ,tulikuwa tunapita wilayani na vijinini huko singida na wakuwapa mbegu za vifaranga chotara wafuge na baadaye yakaanza kwenda makampuni binafsi yalianza kutembeza vifaranga vya chotara na kuuza reja reja kwa wenyeji,sema wao wanafuga free range,free from antibiotic
Mimi na wewe Nani mbishi mkuu kijijini kwetu hakuna miradi ya ivyo maana ndiko nakochukulia kuku hawajui hata hao chotara labda Kama Kuna vijiji mlipeleka lakini kwetu wilaya ya iramba hakuna ivyo vitu usinibishie na mm Ni mzaliwa wa huko na ndio maana wafanya biashara wengi wanakimbilia singida na tabora sababu ndio sehem zimebaki zinazofuga kuku wa kienyeji pureHata mimi nimekulia huko ,we unabisha tuu,ni kweli hao kuku wanaweza kuwa wamefugwa free range lakin mbegu ni chotara sio ile asilia,nakwambia watu wanapita vijinini na mabox ya vifaranga chotara wanauza plus miradi ya tasaf
Kijana unataka kuwa tajiri haraka
Tray ya mayai pure kienyej nauza 9000/=tuu
Samahani sana,sikuwa na nia hiyo kama ulivyoandika mimi niliandika kutokana na uzoefu wangu,mbali na kua mwenyeji wa singida nimefanya kazi za miradi wilaya zote za singida nilieleza hali halisi tuu,Mimi na wewe Nani mbishi mkuu kijijini kwetu hakuna miradi ya ivyo maana ndiko nakochukulia kuku hawajui hata hao chotara labda Kama Kuna vijiji mlipeleka lakini kwetu wilaya ya iramba hakuna ivyo vitu usinibishie na mm Ni mzaliwa wa huko na ndio maana wafanya biashara wengi wanakimbilia singida na tabora sababu ndio sehem zimebaki zinazofuga kuku wa kienyeji pure
Pia usilazimishe uongo kua ukwel kwa lengo la kuharibu biashara ya mtu Ni bora watumiaje wanaonunua waje watoe malalamiko hapa Kama je nmewahi kuwauzia kuku chotara au kuku naouza Ni wakienyeji Wao ndio walete mrejesho au hata wewe nakushauri ununue mmoja then ulete mrejesho hapa watu wapate majibu kupitia wewe
Usijari mkuu Kama upo dar nunua mmoja wakuonja kwa Radha Safi kabisa ufurahie na sijabisha sabab kwetu huku sijaona kitu Kama icho ndio maana na uhakika kua Ni wakienyeji hata waliokula chotara wanaofuga kwa kienyeji pia nilvowauzia walileta mrejesho kua kuku ni wazuri Sana na wamenona Wana mafuta mengi Kama unavoona hapo juuSamahani sana,sikuwa na nia hiyo kama ulivyoandika mimi niliandika kutokana na uzoefu wangu,mbali na kua mwenyeji wa singida nimefanya kazi za miradi wilaya zote za singida nilieleza hali halisi tuu,