Nauza gari yangu X5 (BMW)

Nauza gari yangu X5 (BMW)

Hivi kweli upo serious au unaleta utani hapa. X5 ya 2013 kwa milioni 48 za kitanzania? Hebu niambie upo Msasani sehemu gani nikutembelee kesho Alhamisi tarehe 26 December 2013 ili niione hiyo gari.

Tiba

karibia na saloon ya professor jay, ni pm namba yako. kesho njoo saa tisa jion ukishuka msasani mwisho niambie nije nikuchukue
 
Kwani hyo google ndo inauza gari? Wewe unayeuza ndo inakubidi utuwekee details na picha za hilo gari unalouza.

naomba ufahamu kuwa sibembelezi mtu kwakuwa naamini katika ninachokifanya, ambao wapo serious nimewatumia namba yangu kesho jion nitakuwa free anayetaka kuja kuiona aje na fundi wake kabisa anayemuamini
 
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji

Mkiambiwa mnunue Toyota mnasema gari la being rahisi. Haya sasa utamuuzia nani huo msiba wa x5? Acheni kuiga, nunua gari za kijapani na hutapata shida kuliuza.
 
Ni hivi mkuu, kama uwezo wako umeishia kwenye toyota usimchukie mtu anayenunua BMW. ni upuuzi na ushenzi kutaka kila unachokiamini wewe kiaminiwe na kila mtu, kila mtu ana mapenzi yake. period
 
ndugu hujui kuwa WAZALENDO ndio hubaki maskini

Si kweli, hakuna uhusiano kati ya umaskini na uzalendo. Umaskini unasababishwa na kukosekana kwa creativity, kutojishughulisha, kutokuzitambua fursa au kuzitambua lakini hauzitumii. kuhusianisha uzalendo na umaskini hapo ni kutafuta execuse tu ya umaskini wako. asante
 
nunueni gari hiyo x5 gari ya kishua mimi nataka staret ya 4mil ukiwa nayo umeiweka uwani nipatie mkuu
 
we unayafaham magar yote ya msasani mkuu? huwa unakaa namanga kufaham nan anaendesha gari gani? haupo serious
Mimi ni MCHUNGUZI HURU hivyo usinihoji hata kwenu kikiingia kitu kipya mtaani kwako utajua na mimikwakuwa kule ni viunga vyangu na ni mtu wa magari ni rahisi kujua kuwa kitaa kuna BMW ya 2013 inakatiza mara kwa mara sawa???
 
Si kweli, hakuna uhusiano kati ya umaskini na uzalendo. Umaskini unasababishwa na kukosekana kwa creativity, kutojishughulisha, kutokuzitambua fursa au kuzitambua lakini hauzitumii. kuhusianisha uzalendo na umaskini hapo ni kutafuta execuse tu ya umaskini wako. asante

We unauza gari au maneno?
 
Mkiambiwa mnunue Toyota mnasema gari la being rahisi. Haya sasa utamuuzia nani huo msiba wa x5? Acheni kuiga, nunua gari za kijapani na hutapata shida kuliuza.

Wewe nawe sijui umeibukia wapi!!!...Gari unayoijua wewe ni Toyota tu! Hakika nakwambia, kama gari anayouza MCHUNGUZI HURU ni X5 ya 2013 amini hata angesema 60M hiyo gari haimalizi wiki inaondoka! And why do you preffer toyotas, kwa sababu watanzania ni washamba kiasi kwamba gari wanayoijua ni toyota tu?!! ACHENI USHAMBA!
 
Last edited by a moderator:
si dalalI na katika maisha yangu sijawahi kuajiriwa.... specs :
xDrive35i (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Premium (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Sport Activity (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed
Automatic)
xDrive50i (4.4L V8 Twin-turbo AWD 8-speed Automatic)

hio gari yako ina multiple engines.....taratibu unakuja ninapotaka
 
Mimi ni MCHUNGUZI HURU hivyo usinihoji hata kwenu kikiingia kitu kipya mtaani kwako utajua na mimikwakuwa kule ni viunga vyangu na ni mtu wa magari ni rahisi kujua kuwa kitaa kuna BMW ya 2013 inakatiza mara kwa mara sawa???

Hahahahaaa, KakaKiiza naona hauamini maskio yako, loh! Mashine X5 ya 2013 utata mtupu, mimi na ufukunyuku wangu niliwahi kukutana nayo ya bei rahisi moja tu ilikuwa na miles chini ya elfu moja, price tag yake ilikuwa 22,000GBP tena ilikuwa damaged, front bumper na shavu la kushoto vyote hakuna, taa zote za mbele hakuna, lakini gari nzima na inatembea! Hiyo ilikuwa UK na bado haujaileta bongo na kulipa kodi na mambo mengine, X5 ya 2013 kwa 48M?...hiyo bei ndiyo tunaita SAWA NA BURE! Angekuwa ameweka picha na details zingine ningemsaidia kuinadi!
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli upo serious au unaleta utani hapa. X5 ya 2013 kwa milioni 48 za kitanzania? Hebu niambie upo Msasani sehemu gani nikutembelee kesho Alhamisi tarehe 26 December 2013 ili niione hiyo gari.

Tiba

Asante kaka tiba, kaiangalie Mkuu, lakini mimi nina hofu utakutana na third hand ya 2005 ikiwa na milage za kufa mtu! Wabongo wengi wakiagiza magari used Japan huwa wanasema gari jipya!!!!
 
Hahahahaaa, KakaKiiza naona hauamini maskio yako, loh! Mashine X5 ya 2013 utata mtupu, mimi na ufukunyuku wangu niliwahi kukutana nayo ya bei rahisi moja tu ilikuwa na miles chini ya elfu moja, price tag yake ilikuwa 22,000GBP tena ilikuwa damaged, front bumper na shavu la kushoto vyote hakuna, taa zote za mbele hakuna, lakini gari nzima na inatembea! Hiyo ilikuwa UK na bado haujaileta bongo na kulipa kodi na mambo mengine, X5 ya 2013 kwa 48M?...hiyo bei ndiyo tunaita SAWA NA BURE! Angekuwa ameweka picha na details zingine ningemsaidia kuinadi!
Kumbe inawezekana??Mbona juzi ulinishambulia niliposema nahitaji Prado kwa 12ML ndo hivyo ukishikwa auangalii ulinunua bei gani au Market price!
 
Mkiambiwa mnunue Toyota mnasema gari la being rahisi. Haya sasa utamuuzia nani huo msiba wa x5? Acheni kuiga, nunua gari za kijapani na hutapata shida kuliuza.

Kama hujui magari bora kukaa kimya tu! Hivi kabisa unafananisha Toyota na BMW?kwa hiyo wewe ukipewa tuseme Benz ML class,au BMW x3 au x5 na Toyota Prado,utachagua Toyota Prado?utachekesha kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom