Nauza gari yangu X5 (BMW)

Nauza gari yangu X5 (BMW)

KakaKiiza hata mimi hunijui. Ila naweza nunua gari inayozidi milioni 12 bila kulialia. Tena kaka kwa pesa safi za kijijini. Ukirudia nilicho comment utaona umekurupuka. Nilisema Wengi. Watu wanajua sana kugonga keyboards za computer wakati maisha yao si halisia.
Acha ngonjera 12ml anashika mwanaume!na anapotaka kitu huku akibagain siyo ndo kakomba kila kitu hapana hiyo ni kwa ajili ya matumizi hayo!
 
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji

Kukamatwa kwa Jack huko Macau mara hii mmeanza kufirisika?
 
wala sikutaka kupoteza muda....sijaenda coz hakuna 2013 bmw X5 ya tsh 48M....angesema ana shida kama kidney transplant sawa...sio kuleta gari ingine ndio bmw X5 2013 kwa 48m....naamini huyu jamaa ana X5 ya 2001-2004 ila kaileta tanzania miezi sita iliopita ndio anasema 'mpya'

Yap....... Inaelekea hivyo!
Halafu hata hajui specification zake... Ameweka engine models na specifications nne tofauti...
Eti google!!
 
si dalalI na katika maisha yangu sijawahi kuajiriwa.... specs :
xDrive35i (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Premium (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Sport Activity (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed
Automatic)
xDrive50i (4.4L V8 Twin-turbo AWD 8-speed Automatic)

Hapo ni models nne tofauti!!
Ni ipi kati ya hizo?
Ni ku copy&paste?
I smell a rat here.... tsh 48m 2013 X5??
 
mbona unatumia nguvu sana kumjibu?
muambie tu kubargain ni kutafuta value for money. Ukinikuta nabargain handkachief kwa mmachinga lazma uwe mpole. Yaani buku? Mi nna mia nane. Akikubali natoa 10 tau.
Acha ngonjera 12ml anashika mwanaume!na anapotaka kitu huku akibagain siyo ndo kakomba kila kitu hapana hiyo ni kwa ajili ya matumizi hayo!
 
Jamaa kapigwa BAN sijui mods wamemgundua ni tapeli au?
 
hizo spec we noma.....we mwenyewe hujui gari ina engine ya size gan naona umegoogle tu...

Au la nanihii nn?
 
Mmh makubwa halafu katumia miezi 6 Bila kubadilisha no loh changa la macho hilo
 
Faiza foxy unaniudhi kumchukia nyerere badala ya Gamba kuu la ujangiri
 
si dalalI na katika maisha yangu sijawahi kuajiriwa.... specs :
xDrive35i (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Premium (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Sport Activity (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed
Automatic)
xDrive50i (4.4L V8 Twin-turbo AWD 8-speed Automatic)
Hapa ulionjesha uwezo wako kiakili maana wewe ulikopi na kupesti kwakuwa hukujua kilichoandikwa...

we unayafaham magar yote ya msasani mkuu? huwa unakaa namanga kufaham nan anaendesha gari gani? haupo serious
Mkuu ulinifurahisha sana leo nimeiona hii post nikaona ngoja niwakumbushe wadau!

Hivi kweli upo serious au unaleta utani hapa. X5 ya 2013 kwa milioni 48 za kitanzania? Hebu niambie upo Msasani sehemu gani nikutembelee kesho Alhamisi tarehe 26 December 2013 ili niione hiyo gari.

Tiba
Mkuu kijana alikuigilia mitini?Nimeona huu uzi nilikuwa nacheka mwenyewe hadi basi!

Kwani hyo google ndo inauza gari? Wewe unayeuza ndo inakubidi utuwekee details na picha za hilo gari unalouza.
Kiongozi nimecheka sana za masiku lakini?

hio gari yako ina multiple engines.....taratibu unakuja ninapotaka
Yani weacha maana alikopi na kupesti na hakujua nini kimeandikwa humo na kwakuwa uwezo wake ulikomea hapo!

Hahahahaaa, KakaKiiza naona hauamini maskio yako, loh! Mashine X5 ya 2013 utata mtupu, mimi na ufukunyuku wangu niliwahi kukutana nayo ya bei rahisi moja tu ilikuwa na miles chini ya elfu moja, price tag yake ilikuwa 22,000GBP tena ilikuwa damaged, front bumper na shavu la kushoto vyote hakuna, taa zote za mbele hakuna, lakini gari nzima na inatembea! Hiyo ilikuwa UK na bado haujaileta bongo na kulipa kodi na mambo mengine, X5 ya 2013 kwa 48M?...hiyo bei ndiyo tunaita SAWA NA BURE! Angekuwa ameweka picha na details zingine ningemsaidia kuinadi!
Nimepitia mauzi ya zamani huu umenishika kinyama nimecheka hadi basi!

Hapo ni models nne tofauti!!
Ni ipi kati ya hizo?
Ni ku copy&paste?
I smell a rat here.... tsh 48m 2013 X5??
Ahaaa yani acha tu!

Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji
Mkuu biashara ilifanyika na uliuzia wapi uganda au ndo anaendesha ZaritheBoss?Ila kwa kamba noumer ila ulichemka sana!
 
Hapa ulionjesha uwezo wako kiakili maana wewe ulikopi na kupesti kwakuwa hukujua kilichoandikwa...

Mkuu ulinifurahisha sana leo nimeiona hii post nikaona ngoja niwakumbushe wadau!

Mkuu kijana alikuigilia mitini?Nimeona huu uzi nilikuwa nacheka mwenyewe hadi basi!

Kiongozi nimecheka sana za masiku lakini?

Yani weacha maana alikopi na kupesti na hakujua nini kimeandikwa humo na kwakuwa uwezo wake ulikomea hapo!

Nimepitia mauzi ya zamani huu umenishika kinyama nimecheka hadi basi!

Ahaaa yani acha tu!

Mkuu biashara ilifanyika na uliuzia wapi uganda au ndo anaendesha ZaritheBoss?Ila kwa kamba noumer ila ulichemka sana!

Aliingia mitini vibaya sana, hakujibu na tangia wakati huo sijawahi kumsikia tena.

Tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom