Nauza gari yangu X5 (BMW)

Nauza gari yangu X5 (BMW)

hio usd 27,000 inakaribia 48m na hio ni huko haijafika hapa uilipie ushuru na 2011 sasa 2013 kailipia na ushuru inakuwa ngumu kuamini

Mkuu ni AUD not USD ambayo kwa mkt price ya leo 1Au$=1,405Tsh
Hata hivyo na hayo maushuru ya kuleta tz inaeza fika huko 50-60m
 
Hiyo dharau ya wezekana wewe hata bodaboda huna unakuja hapa kuleta pang'ang'a wewe unajua humu kuna watu waina gani!Kwakuwa watu wanajua hata bei zake wanashangaa hii gari kuwa ya bei chee!yawezekana mbovu pia!!Ikifa central box inazo2 moja 8ml!bado kuzifanyia setting ziwe compatible na system ya gari kutokana na accessories zilizopo katika gari!inajua hapo ina turn bei gani??na siajabu Noble motors wakakwambia hatuna toa cash tuagize!

KakaKiiza hata mimi hunijui. Ila naweza nunua gari inayozidi milioni 12 bila kulialia. Tena kaka kwa pesa safi za kijijini. Ukirudia nilicho comment utaona umekurupuka. Nilisema Wengi. Watu wanajua sana kugonga keyboards za computer wakati maisha yao si halisia.
 
Last edited by a moderator:
usiseme watanzania ni masikini....sema mimi ni masikini....sikumbuki nani alisema maneno haya ila naamini alilenga watu kama wewe...

TCleverly WATANZANIA ni MASIKINI. Kwani nalo hilo lahitaji ubishi? MIMI SIO MASIKINI. Lakini naishi na watu masikini.
 
Last edited by a moderator:
Angekua serious hata post yake angeiweka sawa, X5 BMW kama unaiendesha hutokuja kutuwekea post ya kijinga yenye mapungufu namna hiyo, afu 2013 version unipe bei ya kijinga hivo? unless imekufa kitu au ndio zile mchina, maana mchina zipo clones na nimeziona nyingi tu.. Tusiwe tunataniana tunapimana imani... bei ya hiyo gari ni US$47,500 kabla ya kuisafirisha na ushuru, afu mtu aje akuizie 48M baada ya kuendesha miezi sita, labda ikiwa imekufa au wameiba engine
 
Hivi kweli upo serious au unaleta utani hapa. X5 ya 2013 kwa milioni 48 za kitanzania? Hebu niambie upo Msasani sehemu gani nikutembelee kesho Alhamisi tarehe 26 December 2013 ili niione hiyo gari.

Tiba

Tunaomba feedback tafadhali enheee ilo chuma uliliona au?samahani lkn maana nimecheka sn kila nikisoma comments za raia umu.
 
Angekua serious hata post yake angeiweka sawa, X5 BMW kama unaiendesha hutokuja kutuwekea post ya kijinga yenye mapungufu namna hiyo, afu 2013 version unipe bei ya kijinga hivo? unless imekufa kitu au ndio zile mchina, maana mchina zipo clones na nimeziona nyingi tu.. Tusiwe tunataniana tunapimana imani... bei ya hiyo gari ni US$47,500 kabla ya kuisafirisha na ushuru, afu mtu aje akuizie 48M baada ya kuendesha miezi sita, labda ikiwa imekufa au wameiba engine

Charity at work mkuu.SAA zingine e unatoa tu sio LAzima kila Siku kuhesabu faida
 
Charity at work mkuu.SAA zingine e unatoa tu sio LAzima kila Siku kuhesabu faida
Haya bna, naona siku hizi charity tunatoa kwa watu wenye uwezo wa kufikisha 40Million for just a car, mtu mwenye uwezo wa kufika hapo then ukimpunguzia price uliyonunulia kdg tu anawezachukua sio kupuunguza nusu nzima
 
Si unajua mwenye nacho huongezewa
 
Tunaomba feedback tafadhali enheee ilo chuma uliliona au?samahani lkn maana nimecheka sn kila nikisoma comments za raia umu.

Mkuu, hii kitu sikuiona kwani jamaa aligoma kuniambia ni wapi inapatikana hapo Msasani ili niende nikaione.

Tiba
 
Duuuh ukute hana hata toroli

Mkuu Smile, huyo ni msanii tu kama walivyo wasanii wengine. Hana cha hilo gari wala nini ndio maana hata bei yake haijui.

Tiba
 
Mkuu Smile, huyo ni msanii tu kama walivyo wasanii wengine. Hana cha hilo gari wala nini ndio maana hata bei yake haijui.

Tiba

Halafu alisahau jf ni home ya wajanja.kupotezea tu watu time zao
 
Mkuu Smile, huyo ni msanii tu kama walivyo wasanii wengine. Hana cha hilo gari wala nini ndio maana hata bei yake haijui.

Tiba

Haahaaa duh jamaa lkn ana ndoto nzr ngoja aje tumsikie labda alipata dharula au alikua ana hamu na PM uyu mtani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom