Nauza gari yangu X5 (BMW)

Nauza gari yangu X5 (BMW)

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji
 
Iko Wapi sasa biashara ya maneno hamnaga asee ....weka picha mkuu
 
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji

Mkuu;
Ni ya kwako kweli? Hata kama we ni middle man au umeambiwa kwamba kuna mtu anauza x5 sema tu.. Maana hata picha au detailed specs hajakutumia!
 
mpya kabisa umetumia miezi 6 tu....kwa bei hio utapata mteja haraka sana....X5 ya 2013....kwa 48M utapata mtu mara moja coz hio ni bei ya kutupa......
 
ukiweka picha unipm naweza nikamnunulia rafik yangu wa karibu
 
Mkuu;
Ni ya kwako kweli? Hata kama we ni middle man au umeambiwa kwamba kuna mtu anauza x5 sema tu.. Maana hata picha au detailed specs hajakutumia!

si dalalI na katika maisha yangu sijawahi kuajiriwa.... specs :
xDrive35i (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Premium (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed Automatic)
xDrive35i Sport Activity (3.0L 6-cyl. Turbo AWD 8-speed
Automatic)
xDrive50i (4.4L V8 Twin-turbo AWD 8-speed Automatic)
 
1387947908217.jpg Mkuu kama hii mimi nakaa msasani ningeiona hata namanga ikipita bora kuondoa doubt weka details zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom