Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,216
- 75,786
Ndiyo Ukweli WenyeweJAMII FORUM INATAKIWA IPEWE TUNZO, PIA ITAMBULIKE RASMI KAMA TOVUTI YA KITAIFA
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Ndiyo Ukweli WenyeweJAMII FORUM INATAKIWA IPEWE TUNZO, PIA ITAMBULIKE RASMI KAMA TOVUTI YA KITAIFA
Shujaa wa wapi!!!!Shujaa Amelala 😏🙄😶😑😐
ChettleShujaa wa wapi!!!!
Mkuu ShikamooKuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Cjui leo uko wapi, urudi kuedit hii comment yako.Hata mimi nauona in 2030!
taambia nini watuHata mimi nauona in 2030!
Kwema mkuu..? Mwisho bado tu haujafika kwani? [emoji23][emoji23]Haya ngoja tuusubiri huo mwisho[emoji23]
Hawezi huyo tena ndo sijui kashauza na simu baada ya kuona hii aibu yake..Cjui leo uko wapi, urudi kuedit hii comment yako.
Huyu cha mtoto kuna jamaa sikumbuki jina ye ndo alimaliza kila kitu kabisa alisema haitochukua muda mrefu kwa Meko, na alitabiri mpaka Rais atakayekuja bana atakua mwanamke baada ya Meko ambapo yametimia!Da! Watu mnaona mbali sana
Hatimae yona katoswa baharini.Yona inabidi atupwe ili dhoruba itulie chombo kifike Salama Ninawi.
Naye Yona akatoswa baharini Mungu akamtuma Samaki akammeza Yona akamtapika nchi Kavu. Yote sababu alikataa maagizo ya Mungu alimtuma akawakomboe watu wake akayakataa maagizo ya Mungu Kwa kuwageukia watu wake Kwa kuwafanya walie usiku na mchana, sasa Mungu ameyasikia machozi ya watu wake atamtupa Yona baharini ili bahari itulie chombo kifike salama.
Vp una lolote la kutueleza tena ndugu mtazamaji??DUA YA MWEWE HAIMPATI MWEWE.ENDELEA KU-WISH,ATAMALIZA MIAKA YAKE KUMI.
Ndio zikoje hizo? [emoji23][emoji23] Kwema lakini?Ndoto za mchana
Njoo uncomment hata kwa aya 2 tu, yametimia..Huu uzi Mungu akiniweka 2025 ntakument kwa aya tano
Mkuuu kweliKuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
.Ndoto za mchana