Imekula kwenu mataga.Tales of abunuwasi
Imekula kwenu mataga.Tales of abunuwasi
Subira yavuta Bhangi.. Jiwe kashavuta.CCM ina kawaida ya kutingisha Ma Rais wake ili wajirekebishe, hivyo msidhan ni mwisho wa Rais Magufuli au wa Ccm
Kwa watoto wadogo ngoja kidogo tuwape Historia ya Ccm na Wazee wastaafu wa Ccm
Wazee wastaafu wakiona mambo hayaendi sawia ndio hujitokeza kwa namna tofauti
1984, Hayati Sheikh Thabeet Kombo Katibu Mkuu mstaafu wa ASP aliokoa Jahazi kwny Siasa za Znz baada ya Mkwamo ule na hata Jina la Rais Ally Hassan Mwinyi kupendekezwa kuwa Rais wa Znz lilitoka kwa huyu Mzee
1993 Wakati wa Mkwamo wa Kisiasa kuhusu Serikal tatu , Mzee Mstaafu Julius Nyerere ndio aliokoa jahazi wakati huo tayari mpaka Bunge limeshapitisha Azimio la kuvunja muungano kwa kuruhusu Serikal 3
1997 Katibu mkuu mstaafu aliingilia Kati kuhusu mchakato usio Mwema wa Chama kuporwa na Mabwanyeye akikaripia Kuwa Chama kinakosa dira na Mwelekeo lakin bahati mbaya akafia kwny Kikao cha Kamati kuu Dodoma akiwa kwny mjadala
2005-2015 Wazee wa Kigoda cha Mel Nyerere hawakuchoka kukosoa mapungufu ya Kiuongozi hali ambayo ilimsaidia Rais wa wakati huo kuachana na Rafiki zake wa Miaka yote
2019 kama kawaida Wazee wamejitokeza tena kumsaidia Rais aweze kutambua Vibaraka wanaojifanya wana mapenzi Mema na Rais
Tunaposema Wazee ni Hazina yetu tuna maanisha
Mnaotegemea watu kugawana mbao endeleeni kusuburi kwa kuwa Subira siku hizi yavuta Bhangi
Umebadili na kuweka kapic kansamia ili tuseme bonge la mtabiri kumbe uchafu tu......
Mataga wanataga kama kuku...Imekula kwenu mataga.
Ujinga mtupu....Pole aisee
Tales of abunuwasi
Bado unamsubiri ? Tendea haki ubongo wakoHaya ngoja tuusubiri huo mwisho😂
Magufuli alikuwa kila wakati anasema "NIOMBEENI", baada ya hapo anaua watu, ana dhulumu, anasema uwongo na anaiba fedha za Watanzania.Yametimia mkuu...Mungu amekuwa Mwema kwanWatanzania....nikupe pole tena
nyuzi za kufikicha macho na kuyatoa nje km mzee kabudi 😃😃Kuna nyuzi sio poa kuzisoma usiku yaan nimecheeeka sana
nafikiri kusema hivyo"...niombeeni". alikuwa tayari ameshapewa onyo kuwa amezingua na kuna karma inamfuata.Magufuli alikuwa kila wakati anasema "NIOMBEENI", baada ya hapo anaua watu, ana dhulumu, anasema uwongo na anaiba fedha za Watanzania.
Watu kweli WAKAMUOMBEA afe na apotee. Ogopa sala za watu wengi waliodhulumiwa wakiomba kwa pamoja
Unasemaaa?Tales of abunuwasi
Kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Hatimaye.Kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Dah! Enzi hizo nilikuwa nimekata tamaa mpaka basi! 🙄Hata sikuwa naamini itatokea siku yule mzee atatoka madarakani kwa hiyari yake.Pole sana
Naona Mwenyezi Mungu kakosa uvumilivu kwa Yona! Ameshamtupa tayari baharini. Tunasubiria sasa dhoruba itulie chini ya Nahodha Mwanamama, na hivyo chombo kufika salama huko Ninawi!Yona inabidi atupwe ili dhoruba itulie chombo kifike Salama Ninawi.
Naye Yona akatoswa baharini Mungu akamtuma Samaki akammeza Yona akamtapika nchi Kavu. Yote sababu alikataa maagizo ya Mungu alimtuma akawakomboe watu wake akayakataa maagizo ya Mungu Kwa kuwageukia watu wake Kwa kuwafanya walie usiku na mchana, sasa Mungu ameyasikia machozi ya watu wake atamtupa Yona baharini ili bahari itulie chombo kifike salama.
YametimiaKuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza