Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 3,274
- 12,699
kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Ni sahihi wakti wenyewe ndo huu na umetaradadi kwelikweli😂😂
kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜ŠðŸ˜ŠðŸ˜‚😂😂😂kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
upinzani mkubwa kutokea ndani ya CCM yenyewe. Hii ndio hatari kubwa iliyomuondoa Ghadafi , Sadam Hussein na hata Idd Amin Dada. Hakuna upinzani mgum kuushinda kama upinzani wa ndani maana hutoa fursa kwa maadui wa nje kupata nguvu zaidi na kwa hakika mwisho wa Magufuli ndio huu huu labda itokee muujiza tu.
theconversation.com
Hakika! Hakika.Yona inabidi atupwe ili dhoruba itulie chombo kifike Salama Ninawi.Naye Yona akatoswa baharini Mungu akamtuma Samaki akammeza Yona akamtapika nchi Kavu.Yote sababu alikataa maagizo ya Mungu alimtuma akawakomboe watu wake akayakataa maagizo ya Mungu Kwa kuwageukia watu wake Kwa kuwafanya walie usiku na mchana,sasa Mungu ameyasikia machozi ya watu wake atamtupa Yona baharini ili bahari itulie chombo kifike salama.
Umeuona?Haya ngoja tuusubiri huo mwisho[emoji23]
porojo siku zote ccm ni wamoja tu migogoro kawaida mbona hata kwenye familia zetu tunagombana na wake zetu kakini tunapatana naamini ccm hii migogoro itakwisha na wenye fitina wakibaki midomo wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DUA YA MWEWE HAIMPATI MWEWE.ENDELEA KU-WISH,ATAMALIZA MIAKA YAKE KUMI.
Kama Anabisha Ajifanye Kama Anajikuna. 😎☺Mkuu umebahatika kuuona?
Na hii imekuwa neema sana kwa Taifa.Uliona vema. Jina la Bwana lihimidiwe, dhalim amatoweshwa bila hata tone moja la damu kumwagika.
Jahili na majahili mengi sana yameondoka. Nchi sasa ina amani.Wacha aende zake ameumiza wengi.kote serikali na mtaani wafanyabiashara.Mungu katetea taifa lake.
Jamaaa alitumia kubashiri Yajayo kwa kanuni ya Historia ni mwalimu mzuri.Nawasalimu kwa jina la JMT.kazi iendelee kwa haki na kufuata Sheria.watu wanaona mbali sana.mungu akulinde mkuu.
Pole sana lile jahili hatimaye hatunalo tena 2021.Hata mimi nauona in 2030!
Hatimaye subira imevuta heri...Haya ngoja tuusubiri huo mwisho😂
Pole san Pohamba na utetezi wako fyongo.CCM ina kawaida ya kutingisha Ma Rais wake ili wajirekebishe, hivyo msidhan ni mwisho wa Rais Magufuli au wa Ccm
Kwa watoto wadogo ngoja kidogo tuwape Historia ya Ccm na Wazee wastaafu wa Ccm
Wazee wastaafu wakiona mambo hayaendi sawia ndio hujitokeza kwa namna tofauti
1984, Hayati Sheikh Thabeet Kombo Katibu Mkuu mstaafu wa ASP aliokoa Jahazi kwny Siasa za Znz baada ya Mkwamo ule na hata Jina la Rais Ally Hassan Mwinyi kupendekezwa kuwa Rais wa Znz lilitoka kwa huyu Mzee
1993 Wakati wa Mkwamo wa Kisiasa kuhusu Serikal tatu , Mzee Mstaafu Julius Nyerere ndio aliokoa jahazi wakati huo tayari mpaka Bunge limeshapitisha Azimio la kuvunja muungano kwa kuruhusu Serikal 3
1997 Katibu mkuu mstaafu aliingilia Kati kuhusu mchakato usio Mwema wa Chama kuporwa na Mabwanyeye akikaripia Kuwa Chama kinakosa dira na Mwelekeo lakin bahati mbaya akafia kwny Kikao cha Kamati kuu Dodoma akiwa kwny mjadala
2005-2015 Wazee wa Kigoda cha Mel Nyerere hawakuchoka kukosoa mapungufu ya Kiuongozi hali ambayo ilimsaidia Rais wa wakati huo kuachana na Rafiki zake wa Miaka yote
2019 kama kawaida Wazee wamejitokeza tena kumsaidia Rais aweze kutambua Vibaraka wanaojifanya wana mapenzi Mema na Rais
Tunaposema Wazee ni Hazina yetu tuna maanisha
Mnaotegemea watu kugawana mbao endeleeni kusuburi kwa kuwa Subira siku hizi yavuta Bhangi
Wamshitue huko Jfs AdminHatimaye subira imevuta heri...
Au bado hujapata habari?
Pole sanaTanzania bado hatujafikia huko kwa akina Gaddaf na Saddam Hussein. Tukifikia huko, huo uoga unao uongelea hautakuwepo tena. Jambo la msingi ni kuwaombea tu hawa watawala wetu wa ccm kutenda haki maana binadam huwa na ukomo wa uvumilivu.
Maulana kasikia dua lako...Yaani huyu hana faida yoyote na nchi hii zaidi kuitia hasara na kuwaletea watanzania umaskini na ufukara mkubwa toka ameingia madarakani ,aondoke hata Leo mbona anachelewa .