Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Anyway naheshimu maoni yako mkuu pia natambua unachomaanisha.
Ukweli ni kuwa hivyo ni vyombo ambavyo vipo chini yake na ndipo nguvu ya raisi ilipo + jeshi ambalo natambua kwa nini hukuliweka kwenye koment yako.
Nguvu ya Rais ipo kwenye kauli na matendo yake. Rais akiwa na matendo ya hovyo na kauli za ajabu ajabu basi hata hao polisi unaosema ndio nguvu zake hawataweza kumsaidia endapo raia watamchoka rais. Lakink pia rais mwenye matendo na kauli bora basi nguvu zake huwa hapo tu.
 
Wapinzani hawapaswi kupambana na JPM direct bali wanapaswa kupambania haki zao zilizomo kwenye katiba. mfano walitaka kuandamana kupinga walichokiita udikteta je waliishia wapi?

Wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi wanaichezea na kuinajisi demokrasia mchana kweupe je wapinzani wamefanya lolote seriously kushughulikia hilo?
Tatizo ni watanzania wote kwasababu ni waoga
 
Porojo. Siku zote CCM ni wamoja tu migogoro kawaida mbona hata kwenye familia zetu tunagombana na wake zetu kakini tunapatana naamini CCM hii migogoro itakwisha na wenye fitina wakibaki midomo wazi
 
CCM ina kawaida ya kutingisha Ma Rais wake ili wajirekebishe, hivyo msidhan ni mwisho wa Rais Magufuli au wa Ccm

Kwa watoto wadogo ngoja kidogo tuwape Historia ya Ccm na Wazee wastaafu wa Ccm

Wazee wastaafu wakiona mambo hayaendi sawia ndio hujitokeza kwa namna tofauti

1984, Hayati Sheikh Thabeet Kombo Katibu Mkuu mstaafu wa ASP aliokoa Jahazi kwny Siasa za Znz baada ya Mkwamo ule na hata Jina la Rais Ally Hassan Mwinyi kupendekezwa kuwa Rais wa Znz lilitoka kwa huyu Mzee

1993 Wakati wa Mkwamo wa Kisiasa kuhusu Serikal tatu , Mzee Mstaafu Julius Nyerere ndio aliokoa jahazi wakati huo tayari mpaka Bunge limeshapitisha Azimio la kuvunja muungano kwa kuruhusu Serikal 3

1997 Katibu mkuu mstaafu aliingilia Kati kuhusu mchakato usio Mwema wa Chama kuporwa na Mabwanyeye akikaripia Kuwa Chama kinakosa dira na Mwelekeo lakin bahati mbaya akafia kwny Kikao cha Kamati kuu Dodoma akiwa kwny mjadala

2005-2015 Wazee wa Kigoda cha Mel Nyerere hawakuchoka kukosoa mapungufu ya Kiuongozi hali ambayo ilimsaidia Rais wa wakati huo kuachana na Rafiki zake wa Miaka yote

2019 kama kawaida Wazee wamejitokeza tena kumsaidia Rais aweze kutambua Vibaraka wanaojifanya wana mapenzi Mema na Rais


Tunaposema Wazee ni Hazina yetu tuna maanisha

Mnaotegemea watu kugawana mbao endeleeni kusuburi kwa kuwa Subira siku hizi yavuta Bhangi
asante kwa kutupa flashback. hahahahh!!
 
Back
Top Bottom