Watu mma maono.Kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Ndiyo leo? Amazing!!Kuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
Alimuona jamaa anayemtetea amegusa maslahi yao, akaamua kuachna naye kabisa wala humu hana hamu napo tena.Hivi jamani dada Faiza Foxy yuko wapi?
Yeuuuwi!!Yona inabidi atupwe ili dhoruba itulie chombo kifike Salama Ninawi.
Naye Yona akatoswa baharini Mungu akamtuma Samaki akammeza Yona akamtapika nchi Kavu. Yote sababu alikataa maagizo ya Mungu alimtuma akawakomboe watu wake akayakataa maagizo ya Mungu Kwa kuwageukia watu wake Kwa kuwafanya walie usiku na mchana, sasa Mungu ameyasikia machozi ya watu wake atamtupa Yona baharini ili bahari itulie chombo kifike salama.
Haya sio maono mkuu,huyu in one way or the other anahusika,he is a collaborator.Anapaswa kukamata na kuhojiwa,kuna jambo analolijua kuhusiana na kifo cha Magufuli.He is so accurate.A coincidence?I believe no.Watu mma maono.
Aisee,comments hizi ipo siku mtazitafuna.CCM wenyewe humo humo wamemnyonga, Wazungu hata hawajahangaika kutumia nguvu , alijiwekea full escort anafkri mzungu atatumia style ya WW2 , tatizo jamaa alikurupuka Sana ....na kujifanya kafika , wakat hata uraisi aliupata Kwa mbeleko tuu na wakamheshimu kiroho Safi.....!! Ila akawageuka...!!
mvuv you posted a thread on 20th July 2019 at 0831 AM as it reads thereof, it is a crystal clear evidence you are part of the hero's falling. You knew from the beginning as to who was ploting for his falling and during which it seems you were delighted and optimistic the plan to oust the head of state without involving military action was as commissioned by the culprits as teh thread suggest were in the breakthrough and that his immediate aide were adamant to alert him.Wanabodi salaam.
Enzi zake Colonel Muammar Ghadafi alitamba , Ghadafi aliogopeka na alitisha hasaa hususan miongoni mwa raia aliokuwa akiwaongoza.
Mataifa ya magharibu yalijaribu mara kadhaa kumtikisa Colonel lakini yaliambulia patupu maana Walibya walimkubali kiongozi wao.
Lakini punde tu America na nchi nyingine za Ulaya zilipofanikiwa kuchochea mgogoro kutokea ndani ya Libya miongoni mwa Walibya wenyewe Ghadafi hakuweza kuchukua raundi na hivyo mapema sana alifurushwa madarakani.
Mwanzoni mwa mtafaruku ulioanzishwa na Walivya vibaraka Colonel alidhani shughuli ni nyepesi na hivyo akang'aka na kutoa vitisho vikubwa . Ghadafi alisema Libya itawaka moto na atateketeza kila mpinzani. Hali haikuwa hivyo bali aliteketea yeye. " im very sorry for him.
Lakini pia kuna nchi ya Iran na Korea Kaskazini. Nchi hizi viongozi wake wamefanikiwa kudhibiti upinzani ndani ya nchi na hivyo kupelekea Wairan kuwa wamoja na imara mbele ya vitisho vya USA. hali kadhalika Wakorea pia na hali hii ndio hasa inayowafanya Wamarekani kutoingia Iran na Korea maana wanajua hali haitakuwa nyepesi.
Back to Magufuli:
Tangu aingie madarakani JPM amekuwa akijaribu jaribu kutikisa kiberiti mara kadhaa kuona kama anaweza kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Amewawageuza wapinzani kama chapati na hawajaweza kumfanya lolote na hii ni kwa vile tu hawa watu hawako organized na ni waoga kuliko hata wanavyomuona JPM ni muoga, Namaanisha wapinzani nchi hii ni waoga kuliko hata JPM. Na kukosekana kwa umoja baina yao ndio kete muhimu ambayo JPM na serikali yake wameitumia kuwasambaratisha. Mathalani hakuna uhusiano wa uhakika baina ya viongozi wa upinzani na ukaribu wao umekaa kinafiki zaidi.
Ghafla na shahiri imeonekana JPM tayari ana upinzani mkubwa kutokea ndani ya CCM yenyewe. Hii ndio hatari kubwa iliyowaondoa Ghadafi, Sadam Hussein na hata Idd Amin Dada. Hakuna upinzani mgumu kuushinda kama upinzani wa ndani maana hutoa fursa kwa maadui wa nje kupata nguvu zaidi na kwa hakika mwisho wa Magufuli ndio huu huu labda itokee muujiza tu.
Mwl. Nyerere alipata kusema kwamba upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.
Nawasilisha.
Waliobaki ni.....huyu kaondoka nado niniWapinzani hawapaswi kupambana na JPM direct bali wanapaswa kupambania haki zao zilizomo kwenye katiba. mfano walitaka kuandamana kupinga walichokiita udikteta je waliishia wapi?
Wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi wanaichezea na kuinajisi demokrasia mchana kweupe je wapinzani wamefanya lolote seriously kushughulikia hilo?
Nimetafuta link yake hapa siioni, Ngoja niendelee kuisaka ntakupa, ule uzi ndo una utabiri mwingi sana mkuu utashangaa watu wanavyoflow nondo zao..Nani huyo?una link mkuu?
Nimeurudia rudia huu upost sielewi. Ni past patispo au present continuesCCM ina kawaida ya kutingisha Ma Rais wake ili wajirekebishe, hivyo msidhan ni mwisho wa Rais Magufuli au wa Ccm
Kwa watoto wadogo ngoja kidogo tuwape Historia ya Ccm na Wazee wastaafu wa Ccm
Wazee wastaafu wakiona mambo hayaendi sawia ndio hujitokeza kwa namna tofauti
1984, Hayati Sheikh Thabeet Kombo Katibu Mkuu mstaafu wa ASP aliokoa Jahazi kwny Siasa za Znz baada ya Mkwamo ule na hata Jina la Rais Ally Hassan Mwinyi kupendekezwa kuwa Rais wa Znz lilitoka kwa huyu Mzee
1993 Wakati wa Mkwamo wa Kisiasa kuhusu Serikal tatu , Mzee Mstaafu Julius Nyerere ndio aliokoa jahazi wakati huo tayari mpaka Bunge limeshapitisha Azimio la kuvunja muungano kwa kuruhusu Serikal 3
1997 Katibu mkuu mstaafu aliingilia Kati kuhusu mchakato usio Mwema wa Chama kuporwa na Mabwanyeye akikaripia Kuwa Chama kinakosa dira na Mwelekeo lakin bahati mbaya akafia kwny Kikao cha Kamati kuu Dodoma akiwa kwny mjadala
2005-2015 Wazee wa Kigoda cha Mel Nyerere hawakuchoka kukosoa mapungufu ya Kiuongozi hali ambayo ilimsaidia Rais wa wakati huo kuachana na Rafiki zake wa Miaka yote
2019 kama kawaida Wazee wamejitokeza tena kumsaidia Rais aweze kutambua Vibaraka wanaojifanya wana mapenzi Mema na Rais
Tunaposema Wazee ni Hazina yetu tuna maanisha
Mnaotegemea watu kugawana mbao endeleeni kusuburi kwa kuwa Subira siku hizi yavuta Bhangi
Nani huyo?una link mkuu?
Atafutwe kwa namna yeyote ile JF imtambue mchango wake
HahahahaKuna siku uzi huu utapata comments nyingi sana kama vile siku hiyo ndiyo itakuwa unapostiwa kwa mara ya kwanza
I assure you , all of us understand well that every soul will test death.Haya sio maono mkuu,huyu in one way or the other anahusika,he is a collaborator.Anapaswa kukamata na kuhojiwa,kuna jambo analolijua kuhusiana na kifo cha Magufuli.He is so accurate.A coincidence?I believe no.
Ngoja nikuache tuu,NISIKUJIBU CHOCHOTE..maana naona hauko sawa ,NA WALA SIJUI UNATESEKEA UKIWA WAPI...POLE SANA MKUU HAYO MAUMIVU UYAPATAYO SISI TUMEYAZOEA MIAKA ZAIDI YA MITANO ILOPITAUsimhusishe Mungu kwenye ujinga na uovu huu mkuu.Tuna picha ya kinachoendelea.
There is a very fierce battle going on around the World,wala sio Tanzania tu,ikiongozwa na the Khazarian Mafia.Nia ya watu hawa waovu kupindukia ni kuleta serikali moja ya dunia under Lucifer akimtumia re-incarnation wake the Anti-Christ.These people controls the World and are so evil.They use Talmudic Occult and hard power in their endevours.They control almost all nations on the planet and steal resources of nations by using con tactitics.The so called International Agreements are some of these con techniques.
So,this war is between good and evil,and Magufuli is on the side of good.Sasa kwa kuwa Magufuli amekuwa kikwazo kwenye wizi wa maliasili za Tanzania by the Khazarian Mafia,wakiongozwa na kiongozi wao Rothschild,ndio maana wamemuua.
Ninyi wengine wala hamjui kinacho endelea,mnatumiwa tu kama makarai ya zege mkipewa kaujira kiduchu,huku mkiisaliti nchi yenu kwa kusaidia the advancement of evil agenda,ambazo zinawadhuru hata ninyi wenyewe.Very shameful indeed.
Sidhani kama mtu anayeipenda nchi yake,asiye na maloloso,alipata maumivu yeyote kwenye uongozi wa Magufuli.Ni wale tu ambao walizoea vya kunyonga, egocentric na walioko kwenye payroll ya mabeberu,ndio waliopata maumivu.Tuliyokuwa tuna tamani kwa miaka mingi, ndiyo aliyokuwa anafanya,so there was every reason to celebrate na hapakuwa na sababu yeyote ya kumchukia.Magu loved Tanzaians.He was true to his word and you could see in him hope.Kwa bahati mbaya,haya ndiyo mabeberu wanayo chukia.Ngoja nikuache tuu,NISIKUJIBU CHOCHOTE..maana naona hauko sawa ,NA WALA SIJUI UNATESEKEA UKIWA WAPI...POLE SANA MKUU HAYO MAUMIVU UYAPATAYO SISI TUMEYAZOEA MIAKA ZAIDI YA MITANO ILOPITA
Hapo umewaonea wamepambania kombe kwa hali zote ikashindikana the law of many ikashinda na upinzani they are very few with no money...Wapinzani hawapaswi kupambana na JPM direct bali wanapaswa kupambania haki zao zilizomo kwenye katiba. mfano walitaka kuandamana kupinga walichokiita udikteta je waliishia wapi?
Wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi wanaichezea na kuinajisi demokrasia mchana kweupe je wapinzani wamefanya lolote seriously kushughulikia hilo?