Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Katika vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa Tanzania kwa muda huu 2021, CCM ni chama dhaifu kupita vyote hata cha CHAUMA chini ya mwenyekiti mzee Hashim Rungwe ni chama thabiti kuliko CCM.

Sababu ni kuwa mwendazake baada ya kuua mihimili ya dola, mahakama na bunge akamalizia kukimaliza chama kilichomweka madarakani. Muda huu CCM haina Mwenyekiti wa Taifa wala Katibu Mkuu wa chama.

Hali hii imefikiwa kwa vile CCM ilishindwa kumdhibiti mwendazake kufanya mambo yake ya kuwaondoa vigogo tishio ndani ya CCM na kuleta "wageni" na kuwazawadia vyeo kwa sharti wamuimbie mapambio anayopenda kusikia.

Kina Bashiru Ally Kakurwa, Humphrey Polepole ni aina ya viongozi ambao viongozi walikuwa hawawezi kumuambia chochote Mwenyekiti ambacho wao wanaamini kinyume na kama kina Nape Nnauye , January Makamba na hata wazee kama Yusuf Makamba, Abdulrahman Kinana.

Tukija katika dola, mwendazake aliiyumbisha na kuivuruga kabisa mfumo wa utumishi serikalini yaani civil service. Aliwachukua watu wasio na ujuzi wa utumishi serikalini na kuwapachika vyeo vya u DED, Makatibu Wakuu na kujaribu kuhitimisha pigo kuu la kuua utumishi serikalini kwa kumuapisha Dr. Bashiru Ally Kakurwa kama Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ktk historia ndiye Katibu Mkuu aliyekuwa hana uzoefu kabisa ktk utumishi wa serikali kuu.

Tukija katika mhimili wa Mahakama tuliona alivyouburuza na kuwapa vyeo vya ujaji kwa vigezo dhaifu mfano kuandika hukumu kwa kiSwahili huku kesi hiyo ikiwa ni nyepesi mno.

Bunge pia lilipelekeshwa kwa Spika kuelekezwa kuwashughulikia wabunge wake kwa kuwatoa nje ili waje kushughulikiwa na mwendazake nje ya Bunge. Wabunge wa CCM pia hawakuepuka kipigo cha kisiasa toka kwa mwendazake, ktk kuelekea uchaguzi wa 2020 walishughulikiwa na 'wajumbe' na kama waliweza kupenya walikutana na rungu la Mwenyekiti wa CCM.

Vyeo katika ngazi za uwaziri tumeona waliojiunga mwishoni ktk CCM toka vyama mbadala walitunikiwa vyeo huku wale waliokulia ktk UVCCM na Jumuiya za CCM toka utotoni wakiambulia kuwa backbenchers. Yote hii ilikuwa kuonesha CCM imekufa na sasa mtu mmoja ndiyo kila kitu hivyo wasifurukute au kuwashwa kuhoji au kutoa mawazo mbadala.

Tanzania ilikuwa inaelekea kubaya, lakini kama uzi huu ulivyotabiri wa mwana JF Mvuv, inaonekana ndani ya CCM ndiyo kulikuwa na fukuto kubwa la kutokubaliana na kinachoendelea na sasa tunasikia baada ya mwendazake kuondoka, wabunge wa CCM na SPIKA mwanaCCM wanaanza kutoa maoni ambayo yanaonekana na waimba pambio wa mwendazake kuwa ni unafiki.

Swali kuu sasa 2021 April 12 ni kuwa je zoezi la kumtafuta Mwenyekiti wa Taifa CCM na Katibu Mkuu CCM litakwenda kwa utulivu mkubwa wa kisiasa ndani ya Halmashauri Kuu ya CCM NEC na Kamati Kuu yake na hatimaye chama kuibuka kuweza kuwadhibiti wanachama wake wote ikiwemo Mwenyekiti wao wa CCM.

Yetu ni masikio na macho, wakati utazungumza kama uzi huu wa Mvuv unavyotuambia.
Tanzania yetu! Loh!
 
Huu uzi siyo wa nabii wala mtume isipokua ndiyo hawa walipanga mabaya dhidi ya shujaa wetu JPM
 
Huyu cha mtoto kuna jamaa sikumbuki jina ye ndo alimaliza kila kitu kabisa alisema haitochukua muda mrefu kwa Meko, na alitabiri mpaka Rais atakayekuja bana atakua mwanamke baada ya Meko ambapo yametimia!

Ilikua 2015 hiyo...
Nani huyo?una link mkuu?
 
Wanabodi salaam.

Enzi zake Colonel Muammar Ghadafi alitamba , Ghadafi aliogopeka na alitisha hasaa hususan miongoni mwa raia aliokuwa akiwaongoza.

Mataifa ya magharibu yalijaribu mara kadhaa kumtikisa Colonel lakini yaliambulia patupu maana Walibya walimkubali kiongozi wao.

Lakini punde tu America na nchi nyingine za Ulaya zilipofanikiwa kuchochea mgogoro kutokea ndani ya Libya miongoni mwa Walibya wenyewe Ghadafi hakuweza kuchukua raundi na hivyo mapema sana alifurushwa madarakani.

Mwanzoni mwa mtafaruku ulioanzishwa na Walivya vibaraka Colonel alidhani shughuli ni nyepesi na hivyo akang'aka na kutoa vitisho vikubwa . Ghadafi alisema Libya itawaka moto na atateketeza kila mpinzani. Hali haikuwa hivyo bali aliteketea yeye. " im very sorry for him.

Lakini pia kuna nchi ya Iran na Korea Kaskazini. Nchi hizi viongozi wake wamefanikiwa kudhibiti upinzani ndani ya nchi na hivyo kupelekea Wairan kuwa wamoja na imara mbele ya vitisho vya USA. hali kadhalika Wakorea pia na hali hii ndio hasa inayowafanya Wamarekani kutoingia Iran na Korea maana wanajua hali haitakuwa nyepesi.

Back to Magufuli:
Tangu aingie madarakani JPM amekuwa akijaribu jaribu kutikisa kiberiti mara kadhaa kuona kama anaweza kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Amewawageuza wapinzani kama chapati na hawajaweza kumfanya lolote na hii ni kwa vile tu hawa watu hawako organized na ni waoga kuliko hata wanavyomuona JPM ni muoga, Namaanisha wapinzani nchi hii ni waoga kuliko hata JPM. Na kukosekana kwa umoja baina yao ndio kete muhimu ambayo JPM na serikali yake wameitumia kuwasambaratisha. Mathalani hakuna uhusiano wa uhakika baina ya viongozi wa upinzani na ukaribu wao umekaa kinafiki zaidi.

Ghafla na shahiri imeonekana JPM tayari ana upinzani mkubwa kutokea ndani ya CCM yenyewe. Hii ndio hatari kubwa iliyowaondoa Ghadafi, Sadam Hussein na hata Idd Amin Dada. Hakuna upinzani mgumu kuushinda kama upinzani wa ndani maana hutoa fursa kwa maadui wa nje kupata nguvu zaidi na kwa hakika mwisho wa Magufuli ndio huu huu labda itokee muujiza tu.

Mwl. Nyerere alipata kusema kwamba upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM.

Nawasilisha.
Huu unabii umekuwa too correct for it to be a mere coincidence. I guess you most probably had information of what was going on underground against Magufuli.Wewe na Lissu lenu moja.How come Lissu knew something was not right with Magu before anybody inside the Tanzanian establishment did.Hii inanipa picha kwamba arrangements to get rid of Magufuli might have started in 2019 or even before.

Okay,Magufuli hayupo, are you more human?Not at all.Na wewe utakufa anyway,ni swala la muda tu.
 
Dah! Enzi hizo nilikuwa nimekata tamaa mpaka basi! 🙄Hata sikuwa naamini itatokea siku yule mzee atatoka madarakani kwa hiyari yake.
Tete Mkuu tulikuwa kwenye janga la kitaifa. Ilifika hatua baadhi ya IDs humu zilipotea. Ingawa TL na Mbowe walibaki kuwa viongozi role model wangu kuna nyakati nilitaka kukata tamaa kabisa. Mungu anaipenda nchi hii.
 
Vp una lolote la kutueleza tena ndugu mtazamaji??
Ninalo.Usahihi wa unabii huu wa kishetani hauwezi kuwa concidence.It is too accurate for my liking.Unabii huu unathibitisha kwa mara nyingine yale tuliyokuwa tuna-kisia na kuamini,kwamba kifo cha Magufuli kimepangwa,na mipango imeanza 2019 au hata kabla.Anyway,Magufulis dead,does this make those who planned his death more human? Not at all, after all njia yetu wote ni moja.

Ila the best thing about Magufuli,is that he died for a good course:Kuwatetea Watanzania.Waliomuawamemuua for a bad course: kushibisha matumbo yao or advancencement of the Luciferian One World Government.
 
Nileteeni Ngwajimaaaaaaaaa!!!!! . Mungu Mkuu!! Anatenda kwa Haki na Kwa Wakati Mhafaka. "Nilipoambiwa Mwandazake is no More Nilidhani Nimekufa Mimi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya"
[emoji3][emoji3],Tume na polisi wakamletea Gwajima af jamaa alivyokufa Gwajima kajikausha mbaya hata asimfufue mwenzake
 
Ninalo.Usahihi wa unabii huu hauwezi kuwa concidence.It is too accurate for my liking.Unabii huu unathibitisha kwa mara nyingine yale tuliyokuwa tuna-kisia na kuamini,kwamba kifo cha Magufuli kimepangwa,na mipango imeanza 2019 au hata kabla.Anyway,Magufulis dead,does this make those who planned his death more human? Not at all, after all njia yetu wote ni moja.

Ila the best thing about Magufuli,is that he died for a good course:Kuwatetea Watanzania.Waliomuawamemuua for a bad course: kushibisha matumbo yao or advancencement of the Luciferian One World Government.

kuna michezo ya kishetani sana nchi hii.

mbaya zaidi wahusika wanajipiga kifua.
 
Huyu cha mtoto kuna jamaa sikumbuki jina ye ndo alimaliza kila kitu kabisa alisema haitochukua muda mrefu kwa Meko, na alitabiri mpaka Rais atakayekuja bana atakua mwanamke baada ya Meko ambapo yametimia!

Ilikua 2015 hiyo...
Atafutwe kwa namna yeyote ile JF imtambue mchango wake
 
kuna michezo ya kishetani sana nchi hii.

mbaya zaidi wahusika wanajipiga kifua.
Comment hii👉Vp una lolote la kutueleza tena ndugu mtazamaji??ambayo ililetwa kwenye comment yangu,"inaonyesha wazi kwamba mtu huyu amefurahia sana kifo cha Magufuli,na kuna kitu possibly,anakijua in relation to Magufulis' death.Niseme pia kwamba aliyeleta bandiko hili,kama kweli serikali haitudanyi kuhusu cause ya kifo cha Magufuli atafutwe,akamatwe na ahojiwe.Kuna jambo analolijua kuhusu kifo cha Magufuli!Haiwezekani mtu abashiri so accurately.
 
MUNGU hataniwi MKUU....
Usimhusishe Mungu kwenye ujinga na uovu huu mkuu.Tuna picha ya kinachoendelea.

There is a very fierce battle going on around the World,wala sio Tanzania tu,ikiongozwa na the Khazarian Mafia.Nia ya watu hawa waovu kupindukia ni kuleta serikali moja ya dunia under Lucifer akimtumia re-incarnation wake the Anti-Christ.These people controls the World and are so evil.They use Talmudic Occult and hard power in their endevours.They control almost all nations on the planet and steal resources of nations by using con tactitics.The so called International Agreements are some of these con techniques.

So,this war is between good and evil,and Magufuli is on the side of good.Sasa kwa kuwa Magufuli amekuwa kikwazo kwenye wizi wa maliasili za Tanzania by the Khazarian Mafia,wakiongozwa na kiongozi wao Rothschild,ndio maana wamemuua.

Ninyi wengine wala hamjui kinacho endelea,mnatumiwa tu kama makarai ya zege mkipewa kaujira kiduchu,huku mkiisaliti nchi yenu kwa kusaidia the advancement of evil agenda,ambazo zinawadhuru hata ninyi wenyewe.Very shameful indeed.
 
Back
Top Bottom