Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Nauona mwisho wa Rais Magufuli

Wapinzani hawapaswi kupambana na JPM direct bali wanapaswa kupambania haki zao zilizomo kwenye katiba. mfano walitaka kuandamana kupinga walichokiita udikteta je waliishia wapi?

Wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi wanaichezea na kuinajisi demokrasia mchana kweupe je wapinzani wamefanya lolote seriously kushughulikia hilo?
Mkuu hili siyo swala la wapinzani pekee ,hata wewe linakuhusu ndo maana nilikuuliza wewe umefanya nini ili kupambana na JPM.

Hii dhana ya kudhani kuwa swala Fulani ni la watu Fulani ,ndo limechangia sana nchi hii kuchezewa na wanasiasa kama wanavyotaka. Maana mmewaaminisha kuwa wao tu ndo wapambanaji nyinyi mnasubiri kuletewa.
 
Your theories are good, and convincing in a democratic environment. As long as una deal na dictator, sahau mwisho , sahau kuondoka madarakani sahau kila kitu unless atolewe kwa nguvu kama za Nyerere na Idd Amin. Bila Nyerere Idd Amin angelikuwa kwenye madaraka mpaka leo!

Sidhani kama Iran inaweza kuingia katika full combat war na Marekani ikapona! Ajaribu afanye kama lile la World Trade, september 11, Centre aone reaction ya kweli!
 
Asilimia kubwa ya watanzania wanamsapoti JPM na wanataman Sana Viongozi wote wa sasa wawe Kama yeye ktk suala zima la Maendeleo ya Nchi... Lkn hawapendi saaaana kutype Kwa media, Yan Kwa kifupi wapo bize na mambo mengine

Lkn wachache wasiopenda awepo wana kelele Sana Mitandaoni huku supporters wa JPM wanawacheki tu na Kuwasubiri Kwa hamu 2020 wafanye yao...

Hawa wachache wenye kelele wanajiona wamefanikiwa Sana kumbe hawajui penye kelele nyingi siku zote Hakuna Mafanikio...

Wananchi wengi hawapendi majibizano ya media wala kelele za media,
Wao wanaona yanayofanyika na wanasubiri tu muda ufike wafanye maamuzi sahihi kwao...

Kikubwa ni KUVUMILIANA pale yanapokuja Matokeo usiyoyatarajia
 
Yaani huyu hana faida yoyote na nchi hii zaidi kuitia hasara na kuwaletea watanzania umaskini na ufukara mkubwa toka ameingia madarakani ,aondoke hata Leo mbona anachelewa .
Je, unaweza kuainisha hasara alizolitia taifa letu na umetumia vigezo gani kufanya hitimisho hilo?
 
Wapinzani hawapaswi kupambana na JPM direct bali wanapaswa kupambania haki zao zilizomo kwenye katiba. mfano walitaka kuandamana kupinga walichokiita udikteta je waliishia wapi?

Wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi wanaichezea na kuinajisi demokrasia mchana kweupe je wapinzani wamefanya lolote seriously kushughulikia hilo?

Umeuulizwa wewe umefanya nini badala ya kusubili wengine wafanye, je wwe unaogopa nini? Kama kuna kitu unaogopa basi ujue hata hao unaotaka wafanye nao wanaogopa kama wwe.
 
Hahahaha naona kawabana adi uko chamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela hampari, madili hayaendi, mnaamua kuanzisha kampeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya bna ngoja mi nicheck movie
 
Upinzani wa sasa wa hovyo kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Bora wapinzani unaowaita waoga lakini wapo ,kuliko CCM ambayo imefutika katika siasa za Tanzania, wapinzani tunapambana na genge linalotumia bunduki na mabomu na 'kiasi' tunafikia malengo yetu,lakini CCM imeshakufa toka 2016.
 
😀😀😀
nchi yetu haijafika huko aisee, Libya jeshi lilikua linapambana na wananchi kisha waasi wenye dhana za kivita, hapa kwetu hali ni mbaya kuliko awamu ya 3 na 4 lakini haijafikia huko, JPM atamaliza mwaka wake mmoja aliobakiza kwa amani kisha chama na wananchi kwa ujumla tutamfanyia tathmini 2020, kama amefanya vema tutampa mingine mitano ya MWISHO!
Hoja yangu haipo huko ulipoelekea.
 
Kwa katiba hii hao wapinzani wake ndani ya CCM ni kama mbwa wa kufuga, ukimnyima tu chakula anashika adabu.

Katiba hii inamfanya mtu yeyote kufanya atakacho, na hao wapinzani wake wote ataishia kuwaadabisha kwani wote hao salama na pona yao, inategemea fadhila na madaraka ya urais.
 
Yona inabidi atupwe ili dhoruba itulie chombo kifike Salama Ninawi.

Naye Yona akatoswa baharini Mungu akamtuma Samaki akammeza Yona akamtapika nchi Kavu. Yote sababu alikataa maagizo ya Mungu alimtuma akawakomboe watu wake akayakataa maagizo ya Mungu Kwa kuwageukia watu wake Kwa kuwafanya walie usiku na mchana, sasa Mungu ameyasikia machozi ya watu wake atamtupa Yona baharini ili bahari itulie chombo kifike salama.
 
Kwa Tz bado, Wananchi bado hawajajitambua kihivyo ,Kama haki za Msingi kabisa bado watu wanaziomba kwa kupiga Magoti hakuna yeyote hata huko ndani ya CCM anaweza kunyoosha kidole.

Tuendako wana ccm na upinzani wanaungana kuwa kitu kimoja.Upinzani huja automatic.
 
Tegemeo lake kuu ni dola Kwa kuwakamata wakuu wa dola Lkn wachini nao ni wahanga sawa na Watumishi wengine juu ya stahiki zao nyongeza mishahara, mafao,kurudishwa kikokotoo,nk.
 
Back
Top Bottom