Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

Ahsante boss
1627645595862.png


Tumia google chrome kisha click English
 
Huyo hawezi kukujibu. Hata mimi kuna jamaa nili-mdirect kwake, mpaka leo hajapata mzigo wake.

Ni tapeli kama matepeli wengine wa tuma kwa namba hii.
Duh, hebu ngoja tusikir ufafanuzi yoka kwake.

Mm nilishawahi kutoa pesa kwake kwa Skrill $800 nikaipata, Ila ni muda mrefu sasa sijamtumia, ilikuamwaka 2018 hivi...

Mwl.RCT
 
Anayejua utaratibu wa kwenda kufunga mzigo Zambia naomba msaada wa maelekezo ya utaratibu wake tafadhali
 
Back
Top Bottom