Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

Nachoshangaa Mwl RCT hamjibu kabisa KakaJambazi!

Kwanini hamjibu? Kuna kitu hakiko sawa.

Na nyie mnaomtetea Mwl, bora kuacha hawa watu wajadili wenyewe. Kutokukutapeli wewe hakufanyi asimtapeli mwingine!

Nimewahi fanya biashara na Mwl, najua nachokisema.
Kuna uzi mwingine niliona jamaa alikuwa analalamika pia kutapeliwa. Nikashngaa inakuwaje coz Mwl naona ni mtu poa. Members walimtag ila aliuchuna. Hakujibu kitu.
 
  • trendyol (dot) com
  • hepsiburada (dot) com
Na kwa vitu vya electronics: Computer/Tablet/Mobile basi ingia hapa vatanbilgisayar (dot) com
Kwahiyo, hawa wanaship kabisa? Yani natulia zangu bongo hapa nakamata Oppo yangu saaafi kabisa?
 
Kuna uzi mwingine niliona jamaa alikuwa analalamika pia kutapeliwa. Nikashngaa inakuwaje coz Mwl naona ni mtu poa. Members walimtag ila aliuchuna. Hakujibu kitu.
Ndio cha kujiuliza hicho mkuu, kwanini hajibu tuhuma zikilengwa kwake? Nadhani hajibu ili mambo yaishe .....
 
Mimi niliwahi kumtumia Mwl.RCT kuagiza bidhaa fulani kwa laki na nusu,aliniambia nitapata baada ya wiki tatu.Lakini mzigo ule niliupata kabla ya hizo wiki tatu.

NI TZ PEKEE NDIPO KUNA WANANCHI WANAKUBALI USHUHUDA KAMA HUU. YANI KUNA MTU HATA HAWAZI, AKIONA UMESEMA HIVI TU KWAKE INATOSHA. NCHI HII NI TAMU KAMA KULEEEEEE
 
Ndio cha kujiuliza hicho mkuu, kwanini hajibu tuhuma zikilengwa kwake? Nadhani hajibu ili mambo yaishe .....
Tuhuma weka na ushahidi... Siwezi kuanzisha tu Kambaku amenitapeli... Lazima utapigwa butwa huyu jamaa katokea wapi na ikiwezekana una weza dharau

Pia binadamu tuna hulka tofauti ktk kureact... Kuna mwingine jambo ukimsingizia ana weza kuanzisha ugomvi mkubwa na mwingine akakupuuza

Hivyo tuna tofautiana
 
NI TZ PEKEE NDIPO KUNA WANANCHI WANAKUBALI USHUHUDA KAMA HUU. YANI KUNA MTU HATA HAWAZI, AKIONA UMESEMA HIVI TU KWAKE INATOSHA. NCHI HII NI TAMU KAMA KULEEEEEE
Kuna uzi wake ingia huko kuba mirejesho yakutosha, Uzi tangu 2016, anza kupitia page moja mpaka ya mwisho kama utakuta dosari...

Nenda utakuta ushahidi wa picha etc... Wange funga ule Uzi kama unge kuwa na mashaka
 
Nachoshangaa Mwl RCT hamjibu kabisa KakaJambazi!

Kwanini hamjibu? Kuna kitu hakiko sawa.

Na nyie mnaomtetea Mwl, bora kuacha hawa watu wajadili wenyewe. Kutokukutapeli wewe hakufanyi asimtapeli mwingine!

Nimewahi fanya biashara na Mwl, najua nachokisema.
Wewe umeandika Point Sana Mkuu, mtu asipotapeliwa yeye ana generalize kua wengine hawajatapeliwa. Wengine wanaijua ofisi yake ilipo lakini wengine hawaijui, huwasiliana nae mitandaoni tu.
 
Tuhuma weka na ushahidi... Siwezi kuanzisha tu Kambaku amenitapeli... Lazima utapigwa butwa huyu jamaa katokea wapi na ikiwezekana una weza dharau

Pia binadamu tuna hulka tofauti ktk kureact... Kuna mwingine jambo ukimsingizia ana weza kuanzisha ugomvi mkubwa na mwingine akakupuuza

Hivyo tuna tofautiana
Wewe umesema uliwahi fanya biashara ya dola 15,000 na Mwl ila hujaweka ushahidi wowote.

Usichanganye hulka za kibinadamu na biashara mkuu. Ikiwa mfanyabiashara kaanzishiwa tuhuma ni lazima atajisafisha kwa maana inaharibu biashara yake, hii biashara ya Mwl ni maisha yake hakuna namna azushiwe kitu cha uongo ambacho kinaharibu image ya biashara yake alafu akae kimya simply eti binadamu wanatofautiana ku react!
 
Nakumbuka Kwenye uzi wake uliwahi kuweka screenshots

Nadhani ni Changamoto za kibiashara yeyote anaweza kuwa sahihi
 
Kuna uzi wake ingia huko kuba mirejesho yakutosha, Uzi tangu 2016, anza kupitia page moja mpaka ya mwisho kama utakuta dosari...

Nenda utakuta ushahidi wa picha etc... Wange funga ule Uzi kama unge kuwa na mashaka

Maybe mods walifuta tuhuma zilikuwepo
 
Tapeli mwenyewe alisha kiri kwamba kuna watu wanamdai, na huu ni takribani mwaka hawajalipwa, halafu huyu mpuuzi anakuja kujipendekeza. Labda ni demu wake.
Yaaan mkuu nkiona mtu anamtetea tapeli nashikwa na hasira natamani awe ata karibu nimnyoe kwa chupa
 
Tuhuma weka na ushahidi... Siwezi kuanzisha tu Kambaku amenitapeli... Lazima utapigwa butwa huyu jamaa katokea wapi na ikiwezekana una weza dharau

Pia binadamu tuna hulka tofauti ktk kureact... Kuna mwingine jambo ukimsingizia ana weza kuanzisha ugomvi mkubwa na mwingine akakupuuza

Hivyo tuna tofautiana
Alafu kwanini wewe unamtetea Sana??
Why usiache ajitetee mwenyewe au ndo yeye kwa I'd nyingne??
 
ndugu zangu biashara ya kinunua vitu mtandaoni inachanagamoto nyingi sana kama umeishawai kuagiza wewe mwenyewe bila kutegemea mtu utafaham hayo, inawezekana ukaagiza mzigo hlf muuzaji akazingua na ukafungua malalamiko na usilipwe mwisho wa siku utamuona Mwl.Rct tapeli pia muda mwingne unaweza kufika kwa ndege au posta wafanyakizi ambao sio waaminifu wakapita nao unabaki kumlaumu Mwl.RCT
 
Wewe umesema uliwahi fanya biashara ya dola 15,000 na Mwl ila hujaweka ushahidi wowote.

Usichanganye hulka za kibinadamu na biashara mkuu. Ikiwa mfanyabiashara kaanzishiwa tuhuma ni lazima atajisafisha kwa maana inaharibu biashara yake, hii biashara ya Mwl ni maisha yake hakuna namna azushiwe kitu cha uongo ambacho kinaharibu image ya biashara yake alafu akae kimya simply eti binadamu wanatofautiana ku react!
Nikiweka ushahidi itaondoa tuhuma anazo tuhumiwa?

Mimi naweka wangu na wewe weka wako..
 
Back
Top Bottom