Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,351
2,000
Nikiweka ushahidi itaondoa tuhuma anazo tuhumiwa?
Hebu acha huyu mtu ajisafishe mwenyewe mkuu!

Una maslahii gani nae? Ujue kwa kufanya hivi unazidi kuleta sintofahamu ikiwemo kuanza kuaminisha raia kuwa utapeli wake ni level ya sindicate

Tuhuma haziwezi kusafishwa na mtu mwingine zaidi yake mwenyewe au BASI UTUAMBIE KUWA WEWE NI YEYE.
 
Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
6,059
2,000
Hebu acha huyu mtu ajisafishe mwenyewe mkuu!

Una maslahii gani nae? Ujue kwa kufanya hivi unazidi kuleta sintofahamu ikiwemo kuanza kuaminisha raia kuwa utapeli wake ni level ya sindicate

Tuhuma haziwezi kusafishwa na mtu mwingine zaidi yake mwenyewe au BASI UTUAMBIE KUWA WEWE NI YEYE
Ni viambata baadhi kwa dollars ndogo ndogo...
$9,000s + $300s =
$50

Hii ni mifano kwa huduma yake ya malipo, manunuzi, kuutoa mzigo, maana Kuna gharama za clearing, TBS, tra, hazipo ktk hizo invoices

Kuna gharama za kumlipa yeye...

Na kuna mizigo mingine pia...

Kuna TIN yake mlipa kodi, anuani yake, PPF Tower, Jina lake nimeficha hapo...

Hii ni kwa pesa kubwa naweka ktk a/c yake Mwl.RCT anunue au ashughulikie yeye kwa maana risk zote za kutapeliwa na nk namuachia apambane Nazo na Mimi nabaki kusubiria bidhaa

Hivyo najaribu kuelezea ninacho kiamini...

Siwezi kuamka na kusema fulani mwizi lazime tujue chanzo na ushahidi...

IMG-20210803-WA0023.jpg

IMG-20210803-WA0024.jpg

IMG-20210803-WA0025.jpg
 
Wanama

Senior Member
Jun 12, 2021
185
250
Ni viambata baadhi kwa dollars ndogo ndogo...
$9,000s + $300s =
$50

Hii ni mifano kwa huduma yake ya malipo, manunuzi, kuutoa mzigo, maana Kuna gharama za clearing, TBS, tra, hazipo ktk hizo invoices

Kuna gharama za kumlipa yeye...

Na kuna mizigo mingine pia...

Kuna TIN yake mlipa kodi, anuani yake, PPF Tower, Jina lake nimeficha hapo...

Hii ni kwa pesa kubwa naweka ktk a/c yake Mwl.RCT anunue au ashughulikie yeye kwa maana risk zote za kutapeliwa na nk namuachia apambane Nazo na Mimi nabaki kusubiria bidhaa

Hivyo najaribu kuelezea ninacho kiamini...

Siwezi kuamka na kusema fulani mwizi lazime tujue chanzo na ushahidi...

View attachment 1878279

View attachment 1878280

View attachment 1878281
Hamna kitu apa angetuma ivo yeye we tapeli tu Kama yeye tushawajua maninerr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom