Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Tanaluza

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
212
Reaction score
123
Hamjambo wajukuu zangu.

Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.

Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.

Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.

Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za watu mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.

Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mbagala zakhem sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.

Babu yenu
Tanaluza
 
Hamjambo wajukuu zangu.

Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.

Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.

Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.

Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za mawaziri mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.

Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mwembeyanga sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.

Babu yenu
Tanaluza
Mwembe yanga ni nani? Lete kwa mafumbo please
 
Wanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.

Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
 
Mungu yupi
 
Ebu weka hiyo orodha ya hao unaowatetea waliofariki tuone kama hawakumchulia kifo Lowassa.
 
Vijana wa ufipa kweli akili hakuna wamebaki kumuabudu Lowasa.. Nazani itakua waliambiwa na mzee wa miujiza Mbowe.. Mbowe nani alimpendekeza kua Kiongozi wa kambi Rasmi ya upinzani.. Naomba nijibiwe. Ili swali mpaka Leo sijapata jibu.. Tokea 2010 mpaka Leo.. Nataka kujua nani alitoa wazo au mwenyewe Mbowe
 
Mimi sishabikii wewe weka hiyo orodha ili uwaumbue hao wanaoshabikia kijinga. Ila kama na wewe ni mmoja wao utashindwa kuweka hayo majina maana umeweza kuandika jina LA Lowassa tu.
 
Vijana wa ufipa kweli akili hakuna wamebaki kumuabudu Lowasa.. Nazani itakua waliambiwa na mzee wa miujiza Mbowe.. Mbowe nani alimpendekeza kua Kiongozi wa kambi Rasmi ya upinzani.. Naomba nijibiwe. Ili swali mpaka Leo sijapata jibu.. Tokea 2010 mpaka Leo.. Nataka kujua nani alitoa wazo au mwenyewe Mbowe
Hujatuambia naibu wa spika alimpendekeza nani, wakati hakuwa mbunge?
 
Wanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.

Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Mjukuu wangu sasa povu la nini? na wewe kama ni mmojawapo kampigie tu magoti mzee mwenzangu Lowasa atakusamehe ila ukiendelea na ubishi me namwachia Mungu
 
Back
Top Bottom