Nauliza. Huyu ridhiwani ni nani??????

Nauliza. Huyu ridhiwani ni nani??????

RICHMAHOO

Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
49
Reaction score
14
NAULIZA CHEO CHAKE KWANI MAMBO YOTE MABOVU ANAYAFANYA YEYE HII NI PAMOJA NA KUGOMBANISHA WATU,KUDHULUMU,KUMUUNGANISHA KIKWETE NA WAGANGA,NA MENGINE KIBAO. SASA TUAMBIWE KAMA SERIKALI YETU INAMFAHAMU 1ST SON.UKINIAMBIA 1st LADY NASEMA SALMA RIDH1 JE???
 
Tulishaambiwa uraisi ni suala la kifamilia.............
 
Riz 1 na JK wana element za uarabu flani, mambo ya SADAM na wanae,Mubaraka na Gamal=wanaongozwa na hisia za kifalme au Usultan.
Riz 1 ni fisadi (refer mradi wa Ruvu bajet4 bilion ila only 600mil zilitumika chini ya directives za Rz 1)
Alimpa jamaa yake tenda during UCHAGUZI (indefinate bajet=tumia na andika check upendavyo)amezuia matumizi ya hayo kukaguliwa na kamati za CCM
Alitaka kugombea ubungo,mapambe wakamsukuma nenda kagombee ila alipowaeleza CCM uchwara wa UDSM wakamwambia utaumbuka sana UBUNGO HUTAKIWI.
note:Rz 1 amejenga maadui wengi kisiasa baba yake atakapoachia ngazi ataiona tabia halisi ya binadam kwamba wanakusujudi pindi unapokuwa na madaraka tu.
AMEMSIMIKA MWENYEKITI WA YANGA ambaye wanachama hawamtaki, alimwagiza RPC wa Mwanza aweke ulinzi ili MASHA atangazwe mshindi ila ikishindikana kwa nguvu za umma.
 
Kumbe anayo share kwenye upresident. Wao!!!!!!!!!!!!!!!
 
kweli kazi ipo.ngoja tuendelee kufuatilia,ila hitimisho litakuwa 2015 kama yakibaki kama yalivyopangwa.
 
Kumbe anayo share kwenye upresident. Wao!!!!!!!!!!!!!!!

sometimes I tend to believe hata ukuwadi wa infidels maana it is like he is not a son but a very best friend anayejua siri za ndani za baba
 
kweli kazi ipo.ngoja tuendelee kufuatilia,ila hitimisho litakuwa 2015 kama yakibaki kama yalivyopangwa.

Ni nani aliyekudanganya kwamba Kikwete atafika mwaka 2015? unadhani nchi hii tunaishi mazezeta?
 
ndo nchi ilipofikia hapao hata housegarl wa ikulu anaweza kutoa directives na zikafatwa
 
Riz 1 is a mere tanzanian or if you like you may call him a lumpen proletariat.
 
NAULIZA CHEO CHAKE KWANI MAMBO YOTE MABOVU ANAYAFANYA YEYE HII NI PAMOJA NA KUGOMBANISHA WATU,KUDHULUMU,KUMUUNGANISHA KIKWETE NA WAGANGA,NA MENGINE KIBAO. SASA TUAMBIWE KAMA SERIKALI YETU INAMFAHAMU 1ST SON.UKINIAMBIA 1st LADY NASEMA SALMA RIDH1 JE???

Huyu ni mtoto wa baba Ridhiwani, yule Rais aliyechaguliwa na Tume ya taifa ya uchaguzi
 
"You can have all the formal trappings of government you want and all the military firepower at your disposal you can muster, but if people don't recognize your authority and refuse to obey your orders, you no longer have power"-Stephen Zunes
 
NAULIZA CHEO CHAKE KWANI MAMBO YOTE MABOVU ANAYAFANYA YEYE HII NI PAMOJA NA KUGOMBANISHA WATU,KUDHULUMU,KUMUUNGANISHA KIKWETE NA WAGANGA,NA MENGINE KIBAO. SASA TUAMBIWE KAMA SERIKALI YETU INAMFAHAMU 1ST SON.UKINIAMBIA 1st LADY NASEMA SALMA RIDH1 JE???

Kumjadili Riz 1 sawa, ila tukitaka kumjadili Josephine hapa watu hamtaki, hapo ndipo mnapoonekana upeo wa akili chache mlizo nazo
 
Kumjadili Riz 1 sawa, ila tukitaka kumjadili Josephine hapa watu hamtaki, hapo ndipo mnapoonekana upeo wa akili chache mlizo nazo

Peleka hoja yako kwenye platform ya complaints, kama huna la kuchangia mada hii kaa pembeni usilete kiwingu. mijitu mikuwadi ya ufisadi utaijuwa tu.
 
unayejiita geniousbrain,kama una ushahidi kuwa josephine kaingilia utoaji maamuzi wa dr sema.mi ningekuwa rc siendi airport kumpokea rz1.
 
Kumjadili Riz 1 sawa, ila tukitaka kumjadili Josephine hapa watu hamtaki, hapo ndipo mnapoonekana upeo wa akili chache mlizo nazo

JK kwani ana mtoto aitwaye Josephine? Mtaleta hoja za dini na jinsia yake kwamba oooh mbona Riz1 tuu kwa vile mtoto wa kiume....ila nadhani huyu Josephine atakuwa katulia na kachukua akili za mama yake...hasikiki kabisa kama mtoto wa JK
 
mmeshaanza.....jamani hii topic ni kuhusu Riz1, tumuongee Riz1 hao wengine tuwafungulie topic zao.
 
Kumjadili Riz 1 sawa, ila tukitaka kumjadili Josephine hapa watu hamtaki, hapo ndipo mnapoonekana upeo wa akili chache mlizo nazo
Josephine ndio nani? Ana uhusiano wowote na riz1 tunayemjadili hapa?
 
note:Rz 1 amejenga maadui wengi kisiasa baba yake atakapoachia ngazi ataiona tabia halisi ya binadam kwamba wanakusujudi pindi unapokuwa na madaraka tu..

Hapo ndipo alipochemsha na hii itamcost sana afta 2015....He should think of where to relocate!...Unless aanze kupunguza maadui!
 
Hapo ndipo alipochemsha na hii itamcost sana afta 2015....He should think of where to relocate!...Unless aanze kupunguza maadui!

Ndugu yangu mimi nashindwa kukuelewa au nikuweke kundi gani, Genius Brain umemgongea THANKS yaani kumaanisha kwamba unaunga mkono hoja yake, sasa mbona hapa comment yako haiendani na huyo uliyemgongea THANKS? au pengine mimi labda ndio sijui matumizi ya thanks humu JF, NAOMBA KUELIMISHWA.
 
ndugu yangu mimi nashindwa kukuelewa au nikuweke kundi gani, genius brain umemgongea thanks yaani kumaanisha kwamba unaunga mkono hoja yake, sasa mbona hapa comment yako haiendani na huyo uliyemgongea thanks? Au pengine mimi labda ndio sijui matumizi ya thanks humu jf, naomba kuelimishwa.

misuba hiyo,we unaikiri wote humu wazima wengine wameshalanduka
 
Back
Top Bottom