Natoa posa!

Hahha naona nimetoswa dia, mradi kakufata wewe best wagu si tutashea enheee <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/evil.gif" border="0" alt="" title="Evil" smilieid="175" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/evil.gif" border="0" alt="<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/evil.gif" border="0" alt="" title="Evil" smilieid="175" class="inlineimg" />
<br />
<br />
Ha ha ha nitakujibu kwa PM hapa noma na sitaki kuharibu
 
<br />
<br />
Unanizibia ridhiki yangu ha ha ha we hebu acha uchokozi bana nini lkn
Basi samahanini ila nilikuwa najaribu kuepusha shari kwa bwana mdogo kaju manake atakapopigwa kombora wana jf tutalazimika kuahirisha shughuli za kila siku ili tukazike na matanga juu!
 
Hivi dearest hujui nafanya kazi hapa Kempiski??Nipo kaunta!!
Hahaha! nimecheka mpaka naogopa nimeamsha watu,we utakuwa mwanafunzi mzuri wa mama wa kwanza mambo ya mafiga matatu unavyotu-juggle rev,cpu na mie lol!
 
Hahaha! nimecheka mpaka naogopa nimeamsha watu,we utakuwa mwanafunzi mzuri wa mama wa kwanza mambo ya mafiga matatu unavyotu-juggle rev,cpu na mie lol!
Hahaha nafurahi umefurahi dearest ila punguza sauti dada jirani asikusikie akadhani una mgeni ndani wakati mwenyewe anakumendea!!!!

Sasa ntafanyaje wakati nawapenda???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom