Natoa posa!

mi naona hapa ndo yale yale mambo naizimia avatar yake mmmhhhh!!!!!!!!!!:israel::israel:
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

hahahahahaha! Lol!
Lazima jasho limtoke kwenye kumvua baibui.
 
mi naona hapa ndo yale yale mambo naizimia avatar yake mmmhhhh!!!!!!!!!!<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/israel.gif" border="0" alt="" title="Israel" smilieid="207" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/israel.gif" border="0" alt="" title="Israel" smilieid="207" class="inlineimg" />
<br />
<br /
Hawezi kutoa posa bila kuonana
 
<br />
<br /
Hawezi kutoa posa bila kuonana

Jamani mbona hivo sie mpaka kutangaza ina maana uko tulisha toka zamani! Mhhh kweli nimeamini DENA wengi walikuwa kimya sasa roho zina wauma.
 
Naisubiri kwa hamu siku hiii! MOLA nijalie nitimize ndoto yangu ya kuwa na D all my life!!
 
Kumbe ehhh.....?

Mmmh
Jamani waifu haka kamzaha na wifiyo kasikuzingue, si unajua haka ka-pm kangu nilikafunga tangu nilivyokuvisha ile pete ya bati pale kanisa la majaribio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom