Natoa posa!

Hahaha nafurahi umefurahi dearest ila punguza sauti dada jirani asikusikie akadhani una mgeni ndani wakati mwenyewe anakumendea!!!!

Sasa ntafanyaje wakati nawapenda???
Utakuwa ulisoma vipengele vyote vya ule mkutano wa Beijing walidai kama wanaume wanaweza oa zaidi ya mwanamke mmoja na wanawake pia waweze kuoa wanaume zaidi ya mmoja na walitolea mfano Mongolia ambapo wanaume wanapangiwa ratiba siku ya kuja kulala na India ndugu wawili/watatu wanaoa mwanamke mmoja kupunguza gharama.
 
Basi samahanini ila nilikuwa najaribu kuepusha shari kwa bwana mdogo kaju manake atakapopigwa kombora wana jf tutalazimika kuahirisha shughuli za kila siku ili tukazike na matanga juu!
<br />
<br />
Good Boy lkn picha hujaweka bana Kajuna asijekimbia bure au kanusha
 
Utakuwa ulisoma vipengele vyote vya ule mkutano wa Beijing walidai kama wanaume wanaweza oa zaidi ya mwanamke mmoja na wanawake pia waweze kuoa wanaume zaidi ya mmoja na walitolea mfano Mongolia ambapo wanaume wanapangiwa ratiba siku ya kuja kulala na India ndugu wawili/watatu wanaoa mwanamke mmoja kupunguza gharama.
Nimependa hiyo ya kupanga ratiba.....ngoja niandae yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom