Natoa posa!

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
186
Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa kuhangaika! Lini na ni wapi just stay tuned!
 
umekuwa ukihangaika sana eeh....pole....hongera pia
 
Usije ukawa umelitolea posa jina tu la DA, wakati binadamu mwenyewe ni rijali kama mimi
 
kila la heri mkuu...hiyo mashine inabidi uende na ngo'mbe zizi zima
 
Mh sidhani kama hii ni habari ya kweli.....ngoja wakujitanda aje athiobitshe kwanza!!si yupo hapahapa jamvini,tusiandike mate.....!!
 
kila la heri mkuu...hiyo mashine inabidi uende na ngo'mbe zizi zima

Nipo tayari hasa kwa thamani yake!!! we acha tu! maisha ni kutafuta na sio kutafutana. Na hapa nimefika mwisho wa RELI!!! haaaa DENAAAAA.
 
Na wewe, mmmmh
Yaani ndo unajirahisisha haraka namna hiyo??
Kwangu mi mbona hukuwa mwepesi hivi???

Baba tunatofautiana viwango.....na ana haki thabiti ya kuchagua! utakaribishwa tuu usiofu!!
 
<br />
<br />
Good...

DENA nimeamini kwamba upo juu naona vikumbo vinaongezeka watu wameisha aza ohooo huyu wangu!!! jamani niacheni mie nikamilishe protocol mtoto huyu lazima umfuate kwao na wazee wakuone kwa heshima na adabu. Upige magoti unyenyekeee. DENA ANASTAHILI.
 
Kaka nakutakia kila la kheri kwente utoaji wa posa itakapo anza mishakato ya harusi tafadhali usinisahau kamati ya VINYWAJI pls.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom