Nathubutu Kuuza Sura JF

Preta hujui alikuwa anaweka vizuri king'amuzi chake katika picha ya kwanza kwani alishaondoka kianalogia huyo kadoda11
 
Last edited by a moderator:
si nimejua tu kwani mm nisikujue wewe na wakati tulisoma wote pale chuo cha milembe wewe umenisahau nini? kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Ndo mimi bhana nashukuru kwa kuwa na kumbukumbu nzuri kiasi hicho kwani tulitengana tu kwa kozi zingine za upimaji wa darubini kwa kutumia kijiko au umenisahau tena ndg, Unakukumbuka kuwa tulipangwa wote katika discussion ya intellijinsia ya utafiti wa ubongo wa sisimizi; sasa hapo kumbuka utanipata kiurahisi tu kadoda11
 
Last edited by a moderator:
mi naona ka umeuza kiwiliwili. mia
mkuu figganigga aje aje bro.....naogopa kujiuza in full display mkuu si unajuwa madhara ya ku-spend na kuchangia sana jukwaa la siasa.nisije otesha majani kakibarua kangu ka kunga'risha viatu vya wakubwa a.k.a watawala.:glasses-nerdy:.:shut-mouth:
 
mbona hujachangia kwenye shughuli ya wajanja ya wana chit chat?. jitahidi kumcheki mtambuzi bana!. mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…