MacDking
Member
- Mar 21, 2022
- 65
- 38
55k bila kikomoBro Heshima yako. TTcl wanalipaje kwa mwezi?
55k bila kikomoBro Heshima yako. TTcl wanalipaje kwa mwezi?
0744355811
Zuku atatoboaje wakati ameng'ang'ania city center tuu?Zuku atatoboa Ttcl hawana customer care nzuri
Mbeya wamepita Leo kufanya surveyZuku atatoboaje wakati ameng'ang'ania city center tuu?
TTCL angalau wana nia ya kuttufikia sisi wa mabondeni...
Hujatupa feedback ya uko mkuu vp wanafunga tayari
Bado hawajafunga, niliwauliza wanafunga lini waliniambia mpk wamalize kufanya survey ndio wataanza kufunga. Na sehemu ambazo kuna nguzo zao za simu itakua ni haraka kwasababu hawahitaji nguzo nyingine.Hujatupa feedback ya uko mkuu vp wanafunga tayari
All the best mkuuBado hawajafunga, niliwauliza wanafunga lini waliniambia mpk wamalize kufanya survey ndio wataanza kufunga. Na sehemu ambazo kuna nguzo zao za simu itakua ni haraka kwasababu hawahitaji nguzo nyingine.
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Huku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zoteNi waya, zinapita kwenye mifereji ama nguzo nyumba mpaka nyumba, unavuta kwako kama umeme unapata internet bila kikomo, unatumia mpaka uchoke mwenyewe.
Sidhani kama Voda wanaleta Fiber moja kwa moja, broadband yao ni wireless.Huku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zote
Voda anatoa broadband ya LTE fiber anatoa Kwa majengo ya fiber ready building lkn kama wataka uletewe home pia ana Io option ambayo unakua unaletewa kwenye jengo lakoHuku kinondoni mkwajuni nilipo karibu na home voda wamepitisha fibre zao.so nikitaka naenda kwao naingiza kwangu ? manaake nakumbuka walitandaza nyaya kama zote
Hiyo antena ndo inatumiwa na ttcl au wao wanakuletea fiber mpaka nyumbani?Speed inategemea na source, Wifi ni kipitisho tu cha data, kama source ni Fiber itakuwa na speed, kama source ni adsl ama satelite itakua miyeyusho.
Walipitisha huku na wakasema ni fiber za voda mkuuSidhani kama Voda wanaleta Fiber moja kwa moja, broadband yao ni wireless.
Ni kweli wanachimb na kupitisha shm nyngi ila ad upate nyumbn kwako lazma uwe na viambatisho vngWalipitisha huku na wakasema ni fiber za voda mkuu
Ttcl hii wanayosambaza sasa ni Fiber yenyewe kabisa, sio satelite wala Adsl.Hiyo antena ndo inatumiwa na ttcl au wao wanakuletea fiber mpaka nyumbani?
Fiber mkuu sio lazima iwe end product tu inatumika pia kama Backbone, mfano minara ya simu, hiyo Microwave ya sasa etc zinatumia Fiber kama Backbone, huku Tanga mitaa yote kuna Fiber ya Halotel ila wanatumia tu kama Backbone ya Minara yao kwa sasa.Walipitisha huku na wakasema ni fiber za voda mkuu
Hapo sawa kakaFiber mkuu sio lazima iwe end product tu inatumika pia kama Backbone, mfano minara ya simu, hiyo Microwave ya sasa etc zinatumia Fiber kama Backbone, huku Tanga mitaa yote kuna Fiber ya Halotel ila wanatumia tu kama Backbone ya Minara yao kwa sasa.
Sijajua plan yao huko mkwajuni ni ipi, ila sijasikia kama Voda wana Fiber za majumbani.
DuhKwanza una hakika eneo lako huduma hiyo inapatikana?
Niliwahi request Copper ila kwa eneo langu kulikuwa na ubovu wa miundombinu kiasi zile nyaya zilikuwa na leakage ambayo inasababisha internet kuwa sio ya uhakika
Juzi wamenitafuta wakisema saizi wamerahisisha huduma ya fiber sio ya gharama tena wakaniambia nikiweza kushawishi watu kumi eneo langu watakuja kufanya installation free
Nikiakumbuka kuna uzi mmoja wa kuhusu serikali kuja na bajeti ya kurahisisha huduma ya internet nikawaza huwenda hiyo project imeanza rasmi lakini tangu waniahidi wanakuja zimepita siku nyingi.
Chief-Mkwawa
Ilikuwa 5mbps unlimited naona wameshusha,
Vp kuhusu installation cost zaoNimekutama na hawa wengine wanasema wapo na wamefika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salaam View attachment 2348065