AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,269
Asante kwa maelezo yako mkuuSpeed inategemea na source, Wifi ni kipitisho tu cha data, kama source ni Fiber itakuwa na speed, kama source ni adsl ama satelite itakua miyeyusho.
Asante kwa maelezo yako mkuuSpeed inategemea na source, Wifi ni kipitisho tu cha data, kama source ni Fiber itakuwa na speed, kama source ni adsl ama satelite itakua miyeyusho.
Apo ungecheki Voda chap tu anafunga supakasi internet kwako mkuuHawa jamaa nilienda ofisini kwao, Nikauliza nipate details vizuri kuhusu huduma ya Fiber. Nikajibiwa kwa mbinu za kibiashara kumvutia mteja.
Waliniambia kuna fomu watanipa nijaze then watanipigia simu waje kufanya survey then ndio watakuja kufunga, Nikawauliza hiyo process yote hadi kufungiwa inaweza kuchukua siku ngap? Wakaniambia hadi siku 7 nakuwa tayari nishafungiwa.
Niko nasubiri simu ya survey hapa, Leo ni siku ya 9 ya kazi, sikutaka kuhesabu weekend, nimeassume tu hawafanyi kazi weekend.
ISP si kama Vodacom ye ananunua toka Europe kupitia world wide ISP then using Fiber anasafilisha ad center ake pale south so toka apo south ndo anaenda Kwa inch zingne so far fiber cable inapita chini ya ardhi au chni ya bahariMkuu naomba kuuliza tena hao wanaotoa huduma ya Isp wao Internet yao wanatoa wapi
Huyu jamaa fala kweli. Unafikiri ukijua IT ndo umejua kila kitu nonsence kabisaHizi IT zetu...wewe badala uwape watu miongozo jinsi ya kuingiza hela matokeo yake imekuwa kinyume...
Tumia bando la kawaida mpka utakapoona uhitaji wa hizo fiber, hiyo hela ya kulipia mwezi inabid uingize kwa siku ikizid sana siku mbili .
Kwa mfano nikitaka kuanzisha ISP co kama sina uwezo wa kutoa Internet uko Europe naweza kutoa kwa vodacomISP si kama Vodacom ye ananunua toka Europe kupitia world wide ISP then using Fiber anasafilisha ad center ake pale south so toka apo south ndo anaenda Kwa inch zingne so far fiber cable inapita chini ya ardhi au chni ya bahari
Je haya mashindano ya Zuku na TTCL kwenye Fiber unahisi Zuku atatoboa?Fiber yenyewe ni Ghali, kilomita moja inacost mamilioni cable tu, bado miundombinu mingine kama inachimbiwa chini ya Ardhi ama ni nguzo etc. Na kuna mambo mengine kama software, Modem/routers, repeaters na makorokoro kibao.
Ndio maana huoni kampuni yoyote ndogo ina compete kwenye Fiber.
Hiv hiv fiber ndio nn wakuu au ni unaenda ttcra wanakupa internet yako mwenyew unakuwa unauza msaa pleaseWana miundombinu yao, na miundombinu yao inapoishia kunakuwa na isp mwengine.
Kwenye long distance kunakuwa na Cable za baharini.
Mfano kama Halotel kasambaza fiber zake nchi nzima zina connect, then hizo fiber zipo connected na fiber nyengine Africa nzima na chini ya bahari.
Angalia ramani ya Fiber Kusini mwa jangwa la sahara
View attachment 2306860
So isp analipa kwa hizo kampuni zenye fiber hapo ndipo linapokuja suala la route.
Kama umewahi kucheza game online utaona mitandao haifanani, kama unacheza game lipo Usa unaweza ukatumia voda ping ikawa 150ms na ukatumia Tigo ping ikawa 200ms kwa maana voda inafikia isp wa Marekani haraka kuliko Tigo, hio inatokana na route anayotumia Voda ni fupi, pengine inakatiza tu congo mpaka Atlantic ocean faster inaenda Usa, ila mwengine labda mpaka izunguke North Africa itokee ulaya iende Usa.
Hivyo kila ISP anachagua mwenyewe Route zake na Kampuni Gani atatumia kutoa data Nchini kuingia mifumo ya Dunia.
Ni waya, zinapita kwenye mifereji ama nguzo nyumba mpaka nyumba, unavuta kwako kama umeme unapata internet bila kikomo, unatumia mpaka uchoke mwenyewe.Hiv hiv fiber ndio nn wakuu au ni unaenda ttcra wanakupa internet yako mwenyew unakuwa unauza msaa please
Zuku akikomaa atatoboa ttcl hawako seriousJe haya mashindano ya Zuku na TTCL kwenye Fiber unahisi Zuku atatoboa?
Mashindano yao faida kwetu, Zuku wana Huduma nyingi za kujitofautisha, sidhani kama atatolewa sokoni, ila soko lake litamegwa.Je haya mashindano ya Zuku na TTCL kwenye Fiber unahisi Zuku atatoboa?
Hivi kwann nchi kama marekani ukiangalia kampuni kubwa la Internet kama AT&T halija dominate Internet provider kwa majimbo yote lakini ni more powerful ISP kwa bongo ttcl ndo ka cover asilima kubwa lakini haliendelea kukua kiuchumiMashindano yao faida kwetu, Zuku wana Huduma nyingi za kujitofautisha, sidhani kama atatolewa sokoni, ila soko lake litamegwa.
Ila bado naona Watz wengi hawana uelewa wa FiberMashindano yao faida kwetu, Zuku wana Huduma nyingi za kujitofautisha, sidhani kama atatolewa sokoni, ila soko lake litamegwa.
Zuku atatoboa Ttcl hawana customer care nzuriJe haya mashindano ya Zuku na TTCL kwenye Fiber unahisi Zuku atatoboa?
Matumizi ndo madogo na it industry bado hawajaona umuhimu wakeIla bado naona Watz wengi hawana uelewa wa Fiber
Sure hawako seriousZuku atatoboa Ttcl hawana customer care nzuri
Yaaah Kuna jamaa wanajiita brradda wao wantoa supakasi toka Voda sjajua wameingia contract kvpKwa mfano nikitaka kuanzisha ISP co kama sina uwezo wa kutoa Internet uko Europe naweza kutoa kwa vodacom
Fiber Inahtaji miundombinu ya ghalama sana mkuuHiv hiv fiber ndio nn wakuu au ni unaenda ttcra wanakupa internet yako mwenyew unakuwa unauza msaa please
Wifi business ni nzuri kwa small ISPYaaah Kuna jamaa wanajiita brradda wao wantoa supakasi toka Voda sjajua wameingia contract kvp
Isp wa marekani ni kama maduka makubwa ya simu, wanauzia watu simu kwa mikataba wanalipa kila mwezi huku wakipewa dakika na gb za kupimiwa kwa mijali. Ile system inafanya kazi Marekani tu.Hivi kwann nchi kama marekani ukiangalia kampuni kubwa la Internet kama AT&T halija dominate Internet provider kwa majimbo yote lakini ni more powerful ISP kwa bongo ttcl ndo ka cover asilima kubwa lakini haliendelea kukua kiuchumi
Tatizo wabongo weng wanaangalia bei na sio uboraZuku atatoboa Ttcl hawana customer care nzuri

