Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

Asante samahani unaweza kunisaidia mchanganuo wa vifaa vyote vinavyo takiwa Kwenye system yote mwanzo mpaka mwisho wa project
sio field yangu mkuu, na sio kitu cha kusema vitahitajika vitu fulani bila kujua eneo, fiber inafika mpaka wapi, umbali ilipoishia fiber mpaka unapopeleka internet, idadi ya watu utakaohudumia etc.

kifupi mkuu ni proffesional za watu hizo, tafuta mtaalam akufanyie feasibility study.
 
Ok thanks mkuu
 
Mkuu naomba kuuliza tena hao wanaotoa huduma ya Isp wao Internet yao wanatoa wapi
 
Wana miundombinu yao, na miundombinu yao inapoishia kunakuwa na isp mwengine.

Kwenye long distance kunakuwa na Cable za baharini.

Mfano kama Halotel kasambaza fiber zake nchi nzima zina connect, then hizo fiber zipo connected na fiber nyengine Africa nzima na chini ya bahari.
Angalia ramani ya Fiber Kusini mwa jangwa la sahara
PicsArt_07-28-01.06.12.jpg

So isp analipa kwa hizo kampuni zenye fiber hapo ndipo linapokuja suala la route.

Kama umewahi kucheza game online utaona mitandao haifanani, kama unacheza game lipo Usa unaweza ukatumia voda ping ikawa 150ms na ukatumia Tigo ping ikawa 200ms kwa maana voda inafikia isp wa Marekani haraka kuliko Tigo, hio inatokana na route anayotumia Voda ni fupi, pengine inakatiza tu congo mpaka Atlantic ocean faster inaenda Usa, ila mwengine labda mpaka izunguke North Africa itokee ulaya iende Usa.

Hivyo kila ISP anachagua mwenyewe Route zake na Kampuni Gani atatumia kutoa data Nchini kuingia mifumo ya Dunia.
 
View attachment 2306860

Nasikia ISP wote wapokea Internet kutoka ttcl au sio sahihi
 
Sio sahihi, kuna isp wa satelite wanapokeaje internet TTCL?

Nafkiri wanazungumzia hawa wa fiber, Serikali waliwapa TTCL mkonga wa Taifa, hivyo Isp wa Fiber kivyovyote watahitajika internet zao kupitia mkonga.

Na hizi issue hazipo fixed, kuna jamaa Wanaitwa liquid wamesambaza fiber karibia Africa nzima hivyo isp wengine pia watatumia huko, kifupi internet ni kutegemeana huwezi ukategemea source moja tu, ili huduma zako kama isp mkubwa ziwe za uhakika partnership na wengine ni muhimu sana.
 
Asante sasa nimeanza kuelewa na tofauti ya isp na MVNO iko wapi
 
Mvno ni kifupi cha Mobile virtual network operator ina maana wewe huna miundombinu unatumia ile ile ya isp lakini tu vifurushi unabadili. Unapata Vifurushi kwa jumla unauza rejareja.
Sawa hapo Kwenye ISP miundombinu yake sio mikubwa sana kama ukitumia fiber
 
Hawa jamaa nilienda ofisini kwao, Nikauliza nipate details vizuri kuhusu huduma ya Fiber. Nikajibiwa kwa mbinu za kibiashara kumvutia mteja.
Waliniambia kuna fomu watanipa nijaze then watanipigia simu waje kufanya survey then ndio watakuja kufunga, Nikawauliza hiyo process yote hadi kufungiwa inaweza kuchukua siku ngap? Wakaniambia hadi siku 7 nakuwa tayari nishafungiwa.

Niko nasubiri simu ya survey hapa , Leo ni siku ya 9 ya kazi, sikutaka kuhesabu weekend, nimeassume tu hawafanyi kazi weekend.
mkuu hii ya 55,000 unapata Gb ngap kwa mwezi na iyo ya laki unapata gb ngapi ?
 
Sawa hapo Kwenye ISP miundombinu yake sio mikubwa sana kama ukitumia fiber
Fiber yenyewe ni Ghali, kilomita moja inacost mamilioni cable tu, bado miundombinu mingine kama inachimbiwa chini ya Ardhi ama ni nguzo etc. Na kuna mambo mengine kama software, Modem/routers, repeaters na makorokoro kibao.

Ndio maana huoni kampuni yoyote ndogo ina compete kwenye Fiber.
 
Kwahiyo ndo maana ISP wengi wana deriver kwa njia ya wi-fi
 
Hizi IT zetu...wewe badala uwape watu miongozo jinsi ya kuingiza hela matokeo yake imekuwa kinyume...

Tumia bando la kawaida mpka utakapoona uhitaji wa hizo fiber, hiyo hela ya kulipia mwezi inabid uingize kwa siku ikizid sana siku mbili .
 
Una mshauri nini sasa mleta mada
 
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie
Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya ttcl na 20mbps shared. Prifessionally ni mtu wa IT
Mbali na kuiunga kwenye tv na social media nataka niitumie kujiingizia kipato
Bado nawaza nitaifanyia nini cha faida
Kuna utube chanel, ticktock
Kama kuna mwenye wazo tujuzane
 
Back
Top Bottom