Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

Mi nipo sinza natamani kujua kama TTCl fiber wamefika au zuku na mawasiliano yao
 
NEW PACKAGE VODACOM INTERNET (5G)

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811
 
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie
Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya TTCL na 20mbps shared. Professionally ni mtu wa IT
Mbali na kuiunga kwenye tv na social media nataka niitumie kujiingizia kipato
Bado nawaza nitaifanyia nini cha faida
Kuna utube chanel, ticktock
Kama kuna mwenye wazo tujuzane
Bro kila la heri,uko wapi hapa nyumbani. Namie huwa Nina wazo Kama lako so we've got something in common. We can be friends with benefits
 
Ttcl wapuuzi sana sijapata wazungu hadi leo
 
Back
Top Bottom