Natangaza rasmi kuacha kunywa pombe

Natangaza rasmi kuacha kunywa pombe

Nimecheka sana aisee hahahahahaha lol! Umenikumbusha harusi moja nilialikwa na jamaa zangu pale Diamond Jubilee. Sasa katika harusi ile vinywaji vyote ikiwemo kilevi vilikuwa ni self service pumzi yako, na baadhi wakakamia kutaka kuonyeshana nani ana pumzi ya kunywa kilevi. Pombe za kawaida za nchini na nchi za nje na pombe kali za kila aina. Jamaa yangu mmoja kaamua kufakamia pombe kali mara yuko na whisky mara kahamia kwenye nyagi na dancing floor anazuka mara kwa mara na hiyo cheza yake baada ya kukamata masanga mie sina mbavu.

Ghafla bin vu jamaa anadai anasikia joto kupita kiasi hivyo anaenda nje kupata upepo kasha atarudi. Baada ya muda hatumuoni tukaenda kumtafuta huku na kule hatimaye tukamkuta kavua shati, kavua viatu na soksi kaingia chini ya uvungu wa gari maana mwanga wa mataa ulikuwa unamsumbua sana hivyo akatafuta giza giza uvunguni mwa gari.

Tukamtoa baada ya muda akaanza kutapika mpaka tukaogopa anaweza kufa maana ilikuwa si kutapika kwa kawaida. Ikabidi tumrudishe home, lakini alikuwa na bahati sana tulimuona vinginevyo kama mwenye gari asingemuoa basi siku ile angekutana na umauti wake pale uvunguni mwa gari. Chezea Pombe weye hasa ukizikamia.
Hahah huyo jamaa mpk leo bado anakunywa au aliacha baada ya hilo tukio.
 
Kesho huyu hakawii kubadirika na kusema ataanza kunywa kidogokidogo tu na atajaribu kuicontrol

Kuacha pombe ni mtihani na inahitaji maamuzi thabiti fanyanyike ukiwa sober kabisa - si kama huyu ambae bado ana hang-over
 
ukitaka kuacha pombe kunywa hii
e453dc5523070fd9e3f0228e3cc7ffed.jpg

changanya na savanah,,shushia nyagi malizia na kiroba kimoja tu cha zanzi

ukiendelea basi we destination yako ni ulevi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo ww jamaa !!!! usiache kabisa maana sio kwa miuno ile
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Habari za jumapili wakubwa?
Leo natangaza rasmi kuachana na pombe,maana nimeshndwa kuitawala na badala yake yenyewe ndio inanitawala.
Kumekua na matukio mengi ya hovyo ambayo nimekua nikiyafanya pindi nikiwa nimelewa ila hili nililolifanya jana imenibidi tu niache pombe.
Jana nilikua na mwaliko kwenye harusi flani,sasa na kwa vile saivi usawa mgumu nikajisemea moyon bia zitanitambua,nilivofika ukumbini nikatandika ukawa za kutosha afu nikashushia na mzinga wa konyagi..ebana after two hours nikawa niko tilalila mbaya,sasa wkt wa kucheza mziki ulivyowadia kuna mrembo mmoja nadhan nae alikua tungi,mtoto ana wezere ya kufa mtu ndo tukawa tunashndana nae kukata mauno,ukumbi mzima wakawa wanatushangilia kwa jinsi tulivyokua tunaruka kwanja yani.kwangu mimi hili ni jambo la aibu sana.
So kwa utashi wangu,nikiwa na akili timamu na pasipokushauriwa na mtu,nimeamua kuacha pombe rasmi.
Hongera,ila udhamirie kweli kuacha kwa kumuomba Mungu akutie nguvu ili uweze kushinda kishawishi cha kunywa pombe.
 
Mkuu karibu simba kapakatwa hapa tusherekeee uamuz wako hata na mibuyu miwil miwil (safar)
 
Habari za jumapili wakubwa?
Leo natangaza rasmi kuachana na pombe,maana nimeshndwa kuitawala na badala yake yenyewe ndio inanitawala.
Kumekua na matukio mengi ya hovyo ambayo nimekua nikiyafanya pindi nikiwa nimelewa ila hili nililolifanya jana imenibidi tu niache pombe.
Jana nilikua na mwaliko kwenye harusi flani,sasa na kwa vile saivi usawa mgumu nikajisemea moyon bia zitanitambua,nilivofika ukumbini nikatandika ukawa za kutosha afu nikashushia na mzinga wa konyagi..ebana after two hours nikawa niko tilalila mbaya,sasa wkt wa kucheza mziki ulivyowadia kuna mrembo mmoja nadhan nae alikua tungi,mtoto ana wezere ya kufa mtu ndo tukawa tunashndana nae kukata mauno,ukumbi mzima wakawa wanatushangilia kwa jinsi tulivyokua tunaruka kwanja yani.kwangu mimi hili ni jambo la aibu sana.
So kwa utashi wangu,nikiwa na akili timamu na pasipokushauriwa na mtu,nimeamua kuacha pombe rasmi.
Hujalewa kweli saa hizi
 
Nahisi umeweka hii post ukiwa na hangover nenda dukani chukua kiroba kimoja kikubwa usukutue mdomo alafu utafakali upya msimamo wako!
 
Duh.. hiyo noma. Midawa gani hiyo??
Sijaijua wife anadai alisikia mother anadiscuss na jirani kipindi niko likizo home, maana nilikuwa napiga mtungi gongo na ndugu wajomba na majirani from morning to morning kwa vile sikuwa na uwezo wa kuwatosheleza kwa bia
 
Nimecheka sana aisee hahahahahaha lol! Umenikumbusha harusi moja nilialikwa na jamaa zangu pale Diamond Jubilee. Sasa katika harusi ile vinywaji vyote ikiwemo kilevi vilikuwa ni self service pumzi yako, na baadhi wakakamia kutaka kuonyeshana nani ana pumzi ya kunywa kilevi. Pombe za kawaida za nchini na nchi za nje na pombe kali za kila aina. Jamaa yangu mmoja kaamua kufakamia pombe kali mara yuko na whisky mara kahamia kwenye nyagi na dancing floor anazuka mara kwa mara na hiyo cheza yake baada ya kukamata masanga mie sina mbavu.

Ghafla bin vu jamaa anadai anasikia joto kupita kiasi hivyo anaenda nje kupata upepo kasha atarudi. Baada ya muda hatumuoni tukaenda kumtafuta huku na kule hatimaye tukamkuta kavua shati, kavua viatu na soksi kaingia chini ya uvungu wa gari maana mwanga wa mataa ulikuwa unamsumbua sana hivyo akatafuta giza giza uvunguni mwa gari.

Tukamtoa baada ya muda akaanza kutapika mpaka tukaogopa anaweza kufa maana ilikuwa si kutapika kwa kawaida. Ikabidi tumrudishe home, lakini alikuwa na bahati sana tulimuona vinginevyo kama mwenye gari asingemuoa basi siku ile angekutana na umauti wake pale uvunguni mwa gari. Chezea Pombe weye hasa ukizikamia.
BAK aisee huyo jamaa hatari hii sana, hii story imenifuhisha sana barikiwa ndugu imeboost jpili yangu!
 
Sijaijua wife anadai alisikia mother anadiscuss na jirani kipindi niko likizo home, maana nilikuwa napiga mtungi gongo na ndugu wajomba na majirani from morning to morning kwa vile sikuwa na uwezo wa kuwatosheleza kwa bia
wamekuchanganyia maziwa ya nguruwe kwenye chakula
 
Halafu nilikupiga picha nyingi sana pamoja na videos mkuu ndo naziandaa hapa ili nizi-upload!
 
Habari za jumapili wakubwa?
Leo natangaza rasmi kuachana na pombe,maana nimeshndwa kuitawala na badala yake yenyewe ndio inanitawala.
Kumekua na matukio mengi ya hovyo ambayo nimekua nikiyafanya pindi nikiwa nimelewa ila hili nililolifanya jana imenibidi tu niache pombe.
Jana nilikua na mwaliko kwenye harusi flani,sasa na kwa vile saivi usawa mgumu nikajisemea moyon bia zitanitambua,nilivofika ukumbini nikatandika ukawa za kutosha afu nikashushia na mzinga wa konyagi..ebana after two hours nikawa niko tilalila mbaya,sasa wkt wa kucheza mziki ulivyowadia kuna mrembo mmoja nadhan nae alikua tungi,mtoto ana wezere ya kufa mtu ndo tukawa tunashndana nae kukata mauno,ukumbi mzima wakawa wanatushangilia kwa jinsi tulivyokua tunaruka kwanja yani.kwangu mimi hili ni jambo la aibu sana.
So kwa utashi wangu,nikiwa na akili timamu na pasipokushauriwa na mtu,nimeamua kuacha pombe rasmi.
Chaliii njoo Matako bar hapa tutoe lock aseee
 
Pombe haiachwi kwa kuikataa hivi utasikia baada ya kuacha pombe kwa wiki nzima mfululizo acha nikajipongeze na bia 2
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anasema leo napiga mbili za mwisho
 
Natangaza rasmi kuanza kunywa pombe ili nijionee mwenyewe ni kwa nn baadhi wabatangaza kuacha kunywa pombe
 
Habari za jumapili wakubwa?
Leo natangaza rasmi kuachana na pombe,maana nimeshndwa kuitawala na badala yake yenyewe ndio inanitawala.
Kumekua na matukio mengi ya hovyo ambayo nimekua nikiyafanya pindi nikiwa nimelewa ila hili nililolifanya jana imenibidi tu niache pombe.
Jana nilikua na mwaliko kwenye harusi flani,sasa na kwa vile saivi usawa mgumu nikajisemea moyon bia zitanitambua,nilivofika ukumbini nikatandika ukawa za kutosha afu nikashushia na mzinga wa konyagi..ebana after two hours nikawa niko tilalila mbaya,sasa wkt wa kucheza mziki ulivyowadia kuna mrembo mmoja nadhan nae alikua tungi,mtoto ana wezere ya kufa mtu ndo tukawa tunashndana nae kukata mauno,ukumbi mzima wakawa wanatushangilia kwa jinsi tulivyokua tunaruka kwanja yani.kwangu mimi hili ni jambo la aibu sana.
So kwa utashi wangu,nikiwa na akili timamu na pasipokushauriwa na mtu,nimeamua kuacha pombe rasmi.
Mkuu mim nilishatangaza sana public kusudio la kuhacha na pombe, mwisho wa siku sikuweza kuhacha, ila nilichofanikiwa ni kuhacha sigara
 
Nilisha jaribu kuacha pombe kama mara 2 mara ya kwanza nilikaa kama miez 7 nikarudia kwa kasi badae nikaacha kwa kama mwaka nikarudia tena kwa kasi kubwa ila baada ya kupata majanga ya ajali ya gari yani nilipiga tungi nikawaambia washkaji naenda moshi kumsalimia mama wakaniambia hyo safari ulipanga nikawaambia hamna nimeamua tu sasa hv..aisee nikaamsha gari saa 4 usiku huo mzinga niliokula sikuamini kama nilitoka...leo 5yrs sijagusa pombe ila kanisani sikosi misa ya kwanza kuomba pombe ipite mbali na mm maana nimepoteza fedha nyingi sana kwa mambo niliyoyafanya wkt nikiwa nimelewa staki kurudi kwenye hayo ma addiction
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom