Natangaza rasmi kuacha kunywa pombe

Natangaza rasmi kuacha kunywa pombe

huwezi acha kirahisi ivo, kesho kutwa njoo na story ulivua nguo, wanao achaga hawasemi ukisema ni kama umejipa laana, utarudi tu
True mkuu, ukitaka kuhacha kitu, hacha kimya kimya without kutangaza
 
Habari za jumapili wakubwa?
Leo natangaza rasmi kuachana na pombe,maana nimeshndwa kuitawala na badala yake yenyewe ndio inanitawala.
Kumekua na matukio mengi ya hovyo ambayo nimekua nikiyafanya pindi nikiwa nimelewa ila hili nililolifanya jana imenibidi tu niache pombe.
Jana nilikua na mwaliko kwenye harusi flani,sasa na kwa vile saivi usawa mgumu nikajisemea moyon bia zitanitambua,nilivofika ukumbini nikatandika ukawa za kutosha afu nikashushia na mzinga wa konyagi..ebana after two hours nikawa niko tilalila mbaya,sasa wkt wa kucheza mziki ulivyowadia kuna mrembo mmoja nadhan nae alikua tungi,mtoto ana wezere ya kufa mtu ndo tukawa tunashndana nae kukata mauno,ukumbi mzima wakawa wanatushangilia kwa jinsi tulivyokua tunaruka kwanja yani.kwangu mimi hili ni jambo la aibu sana.
So kwa utashi wangu,nikiwa na akili timamu na pasipokushauriwa na mtu,nimeamua kuacha pombe rasmi.
Ukashushia na Lusekelo mkuu sema hivyo,sio konyagi!
 
Usiache bana mi nafanyaga zaidi ya hayo ila sijaacha nashukuru inanisaidia kutongoza sound mingi na nimepata watoto wa 3 kila mmoja na mama ake inasaidia kwa kweli
 
Mkuu mim nilishatangaza sana public kusudio la kuhacha na pombe, mwisho wa siku sikuweza kuhacha, ila nilichofanikiwa ni kuhacha sigara
Bila shaka ww ni muhaya.
Kuhacha- kuacha
 
[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 

Attachments

  • 1480843921668.jpg
    1480843921668.jpg
    7.5 KB · Views: 47
Acha hizo we. Kashtue mbili utakua poa. Pombe hawaachi hivyo kuna syllabus yake.
 
Kiu itarudi kwa nguvu za ajabu na utaanza upya.
 
Kuacha pombe ni kama kuacha punyeto utakuwa umepumzika tu kwa muda. Kuacha pombe kunahitajika neema ya Mungu sio matamko kama hayo.
 
Dear gambe
unanichanganya sana
Una majina mengi mpaka ya mbuga za wanyama
Nashangaa
Mengine yanatia kinyaa
Mfano mzuri ni gongo, chimpumu hata chang’aa
Kwenye ubongo umetawala kila sector
Niukweli siwezi kuwa nawe bila pesa
Watu wengine wana kula ada kisa wewe
Unawafanya wanasahau ibada
Na juzi juzi tu nimepata habari,
Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajali
Dear gambe nikweli unanichosha
Napenda kuwa nawe ila nyumbani mboga wanakosa
Nawaza jinsi gani ntakuacha
Mpaka wazalendo wa dini baadhi kwako wamedata
Hakuna utata, poa sasa najikata
Kapuku nikizipata ntakufata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom