Natangaza nampenda "Smile"

Natangaza nampenda "Smile"

Duh, itafika kipindi hapa, wengine tutaanza kuonekana kama hatuna SUMU. Lol!
 
Kumbe lugha waijua vizuri eeeh? Nahitaji kuwa kifimbo cheza wa muda......nyie vijana wa dot.com mnatusumbua sana!!

hahahaha!ucjali mpenzi nitajitahidi kunyoo maelezo ili usipate tabu ndugu yangu!
 
That's grt! Ngoja nianze kuongea na baba mchungaji aitangaze ndoa yetu..
Familia tunaipangia hapa hapa or tunahitaji faragha..

Orait darling,fanya huo mpango,nadhan hata rev masanilo unaweza mpa hiyo tenda!mambo yote hapa hapa hadharan hakuna haja ya kwenda chobingo kbs!
 
ngoja nifikirie

ila kuna yule kawapita namba wani wote
ntaweza kweli???

Ntakutumia jibu kwa barua
Bado unafikiria tu?
Canta ndiyo hivyo tena..nafasi keshaichukua!
Yeye hana mapozi kama wewe kabisaaa...
 
Orait darling,fanya huo mpango,nadhan hata rev masanilo unaweza mpa hiyo tenda!mambo yote hapa hapa hadharan hakuna haja ya kwenda chobingo kbs!
Owk, Masanilo ataongoza shughuli yote! Anza kumtafuta matron, mi still nakuna kichwa kumpata bestman!
 
Ok,mie nafikiria niongee na konie awe matron wangu japo cjajua ataichukuliaje hii kwa namna nilivo muovertake!ila km atakataa nitacheki na smile au kipipi cha mcngi shuhuli imalizike mapema iwezekano!
 
shosti tuheshimiane!!!!
long time mnamdiss Rejao sasa amekuwa wangu mnaanza kunipora.........endeleeni na wale wa kwenu pls msinigusie REJAO

Come down baba Mngoni mama Muarusha ..
Acha macheche nani kakupora .. Jiamini mwanamke.sasa ndo utaporwa kweli ..maana umesha onyesha uogaa ..
 
hahahaha!ucjali mpenzi nitajitahidi kunyoo maelezo ili usipate tabu ndugu yangu!

Mjukuu wa Mtambuzi mbona hujamleta huyo mchuma nyumbani tukamtambua au ndio mambo ya mjinimjini? Ila kumbuka kwenye familia ya mzee Mtambuzi haipendi watu wenye pua ndefu. BTW nimekumiss
 
Missing u too nitonye!tena ctaki kbs mdingi wangu mtambuz ajue hii habari,yule mzee mnoko sn,anabana sn ndio maana nimeamua kumaliza juu kwa juu!hilo pua refu ndio hasa nimevutiwa nalo lol!vp wifi hajambo lkn?
 
Ok,mie nafikiria niongee na konie awe matron wangu japo cjajua ataichukuliaje hii kwa namna nilivo muovertake!ila km atakataa nitacheki na smile au kipipi cha mcngi shuhuli imalizike mapema iwezekano!
Mmmmh hao wenye redi waache kabisaa, wanaweza wakachana chana your wedding gown ukakosa cha kuvaa!
Bora huyo mwenye blue!
 
Missing u too nitonye!tena ctaki kbs mdingi wangu mtambuz ajue hii habari,yule mzee mnoko sn,anabana sn ndio maana nimeamua kumaliza juu kwa juu!hilo pua refu ndio hasa nimevutiwa nalo lol!vp wifi hajambo lkn?

Hope wifi yuko powa lakini sijaonanae maana nimefunguliwa jana usiku halafu alikuwa ameshalala.
 
yaani hata hujaingia kwenye gari uliloomba lift
ushaanza kupiga honi kwa filimbi??

Ungekuwa uswazi weye, kwenye sherehe ungekuja na mbilimbi, limao, pilipili, na maji ya kunawa!
Rejao, kwa usalama wa gari hili
si-recommend huyu abiria.
daaaaah siamini macho yangu
 
Ok,mie nafikiria niongee na konie awe matron wangu japo cjajua ataichukuliaje hii kwa namna nilivo muovertake!ila km atakataa nitacheki na smile au kipipi cha mcngi shuhuli imalizike mapema iwezekano!
canta my best friend unanisaliti? unapanga kufunga ndoa na mountain dew wangu tena unaniweka kwenye kamati kabisa jamani?
 
Eh makubwa rejao kawafanya nini!! Huyu kama hajaenda kwa Mzizi mkavu kupewa kazizi sijui maana naona mabinti wanapishana tu. Vipi tena Ruta humtaki tena?
 
rejao ni mtu wangu siku nyingi nimepanga nae mipango mingi na kumuacha siwezi moyo wangu haumjui mwanaume mwingine wala hauwezi kumuingiza mwingine maana pasword imbeblock kwa rejao nisaidie nitonye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom