Natangaza nampenda "Smile"

Natangaza nampenda "Smile"

rejao ni mtu wangu siku nyingi nimepanga nae mipango mingi na kumuacha siwezi moyo wangu haumjui mwanaume mwingine wala hauwezi kumuingiza mwingine maana pasword imbeblock kwa rejao nisaidie nitonye

Sasa mbona alishaleta mahali kwenu pamoja na posa itakuwaje sasa
 
Mmmmh hao wenye redi waache kabisaa, wanaweza wakachana chana your wedding gown ukakosa cha kuvaa!
Bora huyo mwenye blue!

Orait as u say my darling,jukumu hilo nitampa kipipi,je ww ushampata bestman?km vp cheki na shem wangu nitonye!
 
canta my best friend unanisaliti? unapanga kufunga ndoa na mountain dew wangu tena unaniweka kwenye kamati kabisa jamani?

My swty mamito kizuri kula na nduguyo,mie wala cjakusaliti mpnz ndio maana ckutaka kuyamaliza faragha nimeweka hadharan,my dia plz nipe sapoti yako niweze kuiteka himaya ya moyo wa rejao nikamilishe furaha ya maisha yangu,can u help me smile?
 
kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:
 
kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:
Mamito,usijali tukitoka hane mun nitamruhusu japo usiku mmoja nawe ujitahidi kuutumia vizuri maana nitakuwa nae bize sana,kwan namie naitaka sana hiyo kitu mpnz!
 
rejao ni mtu wangu siku nyingi nimepanga nae mipango mingi na kumuacha siwezi moyo wangu haumjui mwanaume mwingine wala hauwezi kumuingiza mwingine maana pasword imbeblock kwa rejao nisaidie nitonye
naona mwenye sredi umerudi, keyboard imekuwa ya moto, ulimi umekuwa mzito, moyo umesimama!
Sijui hata niongee nini!
 
My swty mamito kizuri kula na nduguyo,mie wala cjakusaliti mpnz ndio maana ckutaka kuyamaliza faragha nimeweka hadharan,my dia plz nipe sapoti yako niweze kuiteka himaya ya moyo wa rejao nikamilishe furaha ya maisha yangu,can u help me smile?
kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:

sikutaki tena

Naona smile keshakubaliana na hali halisi!!
Tuanze kufanya shopping!!
 
naona mwenye sredi umerudi, keyboard imekuwa ya moto, ulimi umekuwa mzito, moyo umesimama!
Sijui hata niongee nini!
Swty darling,wala usipate kigugumizi,smile keshabwaga manyanga kwa ridhaa yake,
Nami nipo hapa kwa ajili yako,nikupe raha ya peke yako!hahahahah!
 
Umeonaeee,
Orait,kwa raha zetu,
Here i am darling,nambie tunaanzia wapi?
Tunaanza na Wedding dress...suti baadaye!
98.jpg
123.jpg
1145.jpg
 
Wow!!!!!Darling mie nimependa hilo la kwanza hapo,coz liko simle na ndio ugonjwa wangu,
Vp viatu,heren,chen na crowns!!!!
Am happy umependa gauni..
namtafuta designer mzuri aandae wedding accessories zote!
 
bi harusi gani hujui hata kuchagua nguo?
Heeee heee eeeee hallowwwww!!!
Jamani mamito hilo ndio nimelipenda mie atii!
Liwwe zuri au baya wala haijalishi cha msingi wa ubavu wangu ni rejao hahahahah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom