Natangaza nampenda "Smile"

Natangaza nampenda "Smile"

Nimeshakufungulia moyo wangu...karibu kwangu utulie!
Moyo wako uweke kwangu, ni wewe kwangu wa pekee!

Hehehehe!thx sm my swty darling rejao lol!bila kupoteza muda will u marry me!
 
ngoja nifikirie

ila kuna yule kawapita namba wani wote
ntaweza kweli???

Ntakutumia jibu kwa barua
Ni haki yako...
lakini unaonaje tukifanya mapinduzi, tuwapige chini namba wani wetu?
 
yaani hata hujaingia kwenye gari uliloomba lift
ushaanza kupiga honi kwa filimbi??

Ungekuwa uswazi weye, kwenye sherehe ungekuja na mbilimbi, limao, pilipili, na maji ya kunawa!
Rejao, kwa usalama wa gari hili
si-recommend huyu abiria.

Hehehehe!thx sm my swty darling rejao lol!bila kupoteza muda will u marry me!
 
yaani hata hujaingia kwenye gari uliloomba lift
ushaanza kupiga honi kwa filimbi??

Ungekuwa uswazi weye, kwenye sherehe ungekuja na mbilimbi, limao, pilipili, na maji ya kunawa!
Rejao, kwa usalama wa gari hili
si-recommend huyu abiria.

Jaman mke mwenza mbona ivo,tucbaniane jaman!kitam kulen na mie lol!mbona kwa babu odm tunakula kwa zamu!kwa heshima yako bi mkubwa kongosho naomba nipokee ndan ya gari ya rejao ctapiga hon nitakua konda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom