afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
Rejao
Ukifika arusha panda basi la Mtei njoo Manyara ..ntakuwa stendi nakusubiri ..
Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
Basi km ni hivyo ngoja tumuite afrodenzi ale na Rejao uone km hujapata presure
ohhh...lazima nikutafute aisee!!Rejao
Ukifika arusha panda basi la Mtei njoo Manyara ..ntakuwa stendi nakusubiri ..
mmmh kumbe wewe ni mgeni hapa, jaribu kuuliza memberz wakongwe kuhusu sisirejao alikuwa anampenda smile lakini alikuwa anashindwa kumwambia sasa mimi nimemwambia anaanza kuona wivu. Ananikumbusha kuna rafiki yangu alikuwa anampa vitu mwanamke bila kumwambia kuna jamaa akaja moja kwa moja akamwambia wakakubaliana jamaa mwingine yule akaanza kudai vitu vyake vyoote alivyowahi kumpa. Sasa smile umechukua nini cha Rejao?
hata wakutumie milioni bado kile kidude /kitai kwenye nanilii ya mmasai nitakimiss so ntajikuta nageuka malaya bureeeeahahaaa marytina nikupunguzie nilikuambia njoo dar huku achana na wamasai na wajaluo huko huku raha hapa tunachit chat pia kanipm keshanitumia laki mbili za tax kwa mpesa nimdate holiday inn kwa dinner
ujiandae kisawasawa kama vipi ni bora utumie ERECTOR 100 usije ukaniboa nakajiondokea zanguMaytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
tunaogopa kufunguka ila wengi tu tunakufagilia
Duh we nomaa hiyo haitatumika na shuguli utaikoma...ujiandae kisawasawa kama vipi ni bora utumie ERECTOR 100 usije ukaniboa nakajiondokea zangu
shosti tuheshimiane!!!!Rejao
Ukifika arusha panda basi la Mtei njoo Manyara ..ntakuwa stendi nakusubiri ..
SPEAK OPENLYohhh...lazima nikutafute aisee!!
Sina sera na Smile mimi nimemwagia sifa to your woman, don't you proud of this?
Kwanzia leo sitaki kiswanglish JF.......
Hapa inabidi nijidai kama sijaona post ya yeyote!! Sitaki kesi mie!!
Halafu kidumu wewe unakaba sana..khaaa! Kuliko hata mama mwenye nyumba!!lazima uone
michicha yote niliyokuwa napika ili unawiri macho!
Utaachaje kuona
Halafu kidumu wewe unakaba sana..khaaa! Kuliko hata mama mwenye nyumba!!