Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Thx darling,as u say mie kwangu ni swadakta tu!Am happy umependa gauni..
namtafuta designer mzuri aandae wedding accessories zote!
Km ujuavo mie ww ndio wangu king kwako sina kiswahili kingi!!
Thx darling,as u say mie kwangu ni swadakta tu!Am happy umependa gauni..
namtafuta designer mzuri aandae wedding accessories zote!
Thank you darling,is wat u deserve from your women
Thank you darling,is wat u deserve from your women
![]()
Kaizer,Duh.....hapa sijui mwisho wa siku utakuwaje ila mi naomba kadi ya mchango wa harusi mi na familia yangu au hakuna kuchangia?
Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na akitoa mada atajitahidi sana kumjibu kila mtu tofauti na watoa mada ambao akishatoa mada yeye anaishia hachangii tena. Kumbuka kisa kilichompata cha kutonyoa mavuzi na ile ya kupimwa mimba na headteacher. Smile i love you !, you are brilliant gal !
Wow!my Big shem,ur mostly well come jaman,km shem mkubwa wa familia nakutambulisha rasmi kuwa Rejao ndio chaguo langu na maandalizi ya harusi ndio yanaendelea,naomba unifikishie salam kwa familia nzima,Duh.....hapa sijui mwisho wa siku utakuwaje ila mi naomba kadi ya mchango wa harusi mi na familia yangu au hakuna kuchangia?
haya maneno yako hapa chini yameniumiza sana!!
Ur well come swty,Thanx for da kiss darling!
Your kiss means a lot.
Ur well come swty,
Katika pita pita zangu nimeona suti km hizi,je unazionaje?
![]()
![]()
![]()
na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!na bado
na mie sikutaki tena
yaani wewe wa kuibebesha babaj yetu mbao?
Utapendezaje darling!Waooo...Zote zimetulia...nimechagua hiki kitu cha black!
View attachment 48424
na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!
na bado
na mie sikutaki tena
yaani wewe wa kuibebesha babaj yetu mbao?
Ukisusa mwenzio nala...na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!
Ooohh!my swty darling,come this way plz,na mimi siyataki tena mapenzi yako ya kubip mara leo Beyshanga, mara Babu Asprin, mara The bossi... Ngoja nistick kwa canta wangu!
Asante mamito hapa ni raha tu,rejao na canta nimewaaminia
Here ur my swty babu,Huu msredi umeniliza wivu sana...
Ngoja nisepe...:A S-coffee: