Natangaza nampenda "Smile" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nampenda "Smile"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lastname, Feb 29, 2012.

 1. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani nimekuwamo humu toka siku nyingi ila nimejiunga hivi karibuni. Huyu dada smile nimempenda saana jinsi anavyochangia mada na jinsi anavyotoa mada mpya. Kwanza, anachangia mada kwa heshima na akitoa mada atajitahidi sana kumjibu kila mtu tofauti na watoa mada ambao akishatoa mada yeye anaishia hachangii tena. Kumbuka kisa kilichompata cha kutonyoa mavuzi na ile ya kupimwa mimba na headteacher. Smile i love you !, you are brilliant gal !
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nikutumie m pesa a/c yangu au tigo au aetel money?
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ungenipm tu tumalizane mkuu huku wanga wengi.
   
 4. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  We acha wajue kuwa mimi nimezipenda post na uchangiaji wako ili kwanza as a starting point. hahahhaa

   
 5. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Harafu siku hizi umekuwa mjanja ee? Maana huko nyuma ulikuwa mkimya sana au umelelewa katika familia za kidini sana?

   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Am her man...
  haya leta sera zako wewe unayejiitaLastname
   
 7. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sina sera na Smile mimi nimemwagia sifa to your woman, don't you proud of this?

   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  owk owk...keshazipata na ameshazikubali!
  Tufunge hii Thread!
  :closed_2:
   
 9. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana Smile alinitumia ujumbe unasomeka hivi
  Dunda nakupenda sana hahahah mkuu rigwarride unalolianzisha utapiga kwata saa saba mchana kwenye kijua kikali
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
  mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
  yaan hata REJAO hanitaki...........duh
   
 11. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwenyewe kasema tufunge thread hii, kumbe Rijao smile mambo yako eee? basi namhurumia maana kwa akili yako na yake vitu viwili tofauti. lakini nitam PM akusaidie kukubadilisha mtazamo.
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  acha kumbania mwenzio kizuri kula na jirani yako bwana mmmh
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yan unamaanisha sisi wanajamii wachawi?
   
 14. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kumbe kama ni hivyo ume m rank rejao chini kuwa bora wengine wasikupend hata asiyejua kuchagua naye amekutosa?

   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Maytina, nikija Arusha wewe ndio utakuwa ubavu wangu...kwa sasa waachie wa humu mjini wanifaidi!!!
   
 16. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Du bora bwana

   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Basi km ni hivyo ngoja tumuite afrodenzi ale na Rejao uone km hujapata presure
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaa marytina nikupunguzie nilikuambia njoo dar huku achana na wamasai na wajaluo huko huku raha hapa tunachit chat pia kanipm keshanitumia laki mbili za tax kwa mpesa nimdate holiday inn kwa dinner
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Siamini kabsaaa....yaani unataka kufunguka kwa Lastname???
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unatuma sh ngapi?
   
Loading...