Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
hapo nimekosa nini labda shida nimechoka mie lawyer yupo wapi anisaidie hii kesiHahahaha...maneno ya mkosaji bana!!
hapo nimekosa nini labda shida nimechoka mie lawyer yupo wapi anisaidie hii kesiHahahaha...maneno ya mkosaji bana!!
Ni Mapenzi tu kwa Cantalisia yamekolea...khaaaa umekula bange au?
Wow!!!oooh darlin,
Umeleta kwangu mwanga,
wengine nawaona wanga,
maisha sote tumeyapanga,
Naahidi kutoyakaanga.
Tumkaribishe kwetu Bishanga,
Wazushi wengine kama akina Kongosho, Smile na Asprin..wote tuwakimbize kwa mapanga!!
Ni Mapenzi tu kwa Cantalisia yamekolea...
khaaaa umekula bange au?
Ni Mapenzi tu kwa Cantalisia yamekolea...
Wow!!!
Huby wewe kwangu ni dhahabu,
kukutii ni wangu wajibu,
Wanga vyao visebu sebu,
na vijiba vya roho bila sababu,
watakufa bila kupata majibu,
sie kwa raha zetu hatutaki gubu.
Ni furaha bishanga kukaribia kwetu,
Ujio wake nyoyo zetu kwatu,
Wazushi watajibeba na roho zao zenye magutu!!!
Honey,
Ni lazima nilikoleze,
Nikupigie mpaka zeze,
Moyo wako niutulize,
Mwingine usimuwaze!
:lalala:
:focus::first:
Karibu Ritz,Hivi na mie naweza kupata mtu huku Chit-Chat?